Hii ni Maalum kwa Wafanyabiashara wa sasa au wanaotarajia kufanya biashara siku za usoni

Hii ni Maalum kwa Wafanyabiashara wa sasa au wanaotarajia kufanya biashara siku za usoni

Nchi ngumu sana hii, Magu tutamkumbuka kwa mengi ikiwemo kua muasisi wa jambo hili --- watu kujiunga na chama ili kulinda interest
Sina kumbukumbu vizuri. Kumbe kabla ya Magu hii tabia ya kushukuru ovyo ovyo haikuepo
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Sina kumbukumbu vizuri. Kumbe kabla ya Magu hii tabia ya kushukuru ovyo ovyo haikuepo
Ilishamili sana enzi zake, hadi kuna muda akawa anakasirika kabisa
 
Nko kwny game mwaka WA 17 huu,
Sio wote tunalipa yote hayo uliyotaja,
Ili utoboe kwny biashara jifunze kuishi na kuongea na watu vizuri (hasa walio kwenye game)
 
GHarama za ulinzi ,,,,
choo labda kulipia...
Gharama za maji,,,,
Gharama za umeme,,,,
CHakula cha mchana au usubuhi,,,
Sadaka kwa wanaopita na tudaftari,,,kuna mwenzetu blah blah blah..........
Na Bado ulichukia mkopo
 
Back
Top Bottom