Hii ni mara ya kwanza kwa CHADEMA kuyumba baada ya kuingia kwenye mikono ya Lissu

Haya yote alisababisha Lissu kususia Uchaguzi
Aliondoa CHADEMA ndiyo sababu ya CCM kuwa kinara, yote haya aliyataka Lissu mzee wa pupa
 
**** la Mama yako...



Sasa si ndio vizuri wapinzani wa CHADEMA ,mufurahi kua hamna upinzani
 
Haya yote alisababisha Lissu kususia Uchaguzi
Aliondoa CHADEMA ndiyo sababu ya CCM kuwa kinara, yote haya aliyataka Lissu mzee wa pupa
Your browser is not able to display this video.
 
Unajaza server za jamii forums bila sababu,,,Who cares Chadema Ina wabunge wangapi,,, Demands zetu ni KATIBA MPYA,, Tume huru ya uchaguzi,,, na kukomeshwa Kwa utekaji,, Vyeo gawaneni ninyi wabinafsi
 
Chadema iko imara zaidi ya Jana. Ndo maana ikakuwasha kuiandika andika kila mara.
Toka Nchi hii iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hakuna chama cha upinzani kilichosababisha Rais akaapishwe porini, huku akiwa amezungukwa na Wanajeshi. Hakuna chama kilichosababisha wakuu wa majeshi watangaze hali ya hatari, na kutuambia tulale saa 12 jioni!
Sasa hebu tujifikirie, CHADEMA ya Mbowe, ingeyaweza yote hayaaa?
 
Walah sioni nuru kabisa, kila nikitazama sioni
Rasilimali watu imepotea, sioni Wabunge, Lissu aliwambia kuhusu Ubunge wasahau
Unaakili kisoda, jitafakari tena ukishindwa niulize kwa nini nakuambia hivyo.
 
Unajaza server za jamii forums bila sababu,,,Who cares Chadema Ina wabunge wangapi,,, Demands zetu ni KATIBA MPYA,, Tume huru ya uchaguzi,,, na kukomeshwa Kwa utekaji,, Vyeo gawaneni ninyi wabinafsi
Kama lengo ni hilo basi mtaitwa Shirika la Haki za Binadamu na sio Chama cha siasa kwasababu hamtakuwa na sifa za Chama cha siasa kama Wabunge na wagombea Uraisi nk
 
Kohio Lissu alikinukisha kama alivyosema sio
Ila sasa hatuni wabunge yaani wanachama nikama wanataka kusambaratika hiyo ndiyo hofu kubwa tuliyonayo kwa sasa
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Kama lengo ni hilo basi mtaitwa Shirika la Haki za Binadamu na sio Chama cha siasa kwasababu hamtakuwa na sifa za Chama cha siasa kama Wabunge na wagombea Uraisi nk
Upumbavu ndo unakusumbua,,, kama huo ulaghai ndo unaita uchaguzi basi hizo itikadi zenu za u-CCM na u- CHADEMA ,, zinatakiwa kupingwa na watu wenye akili timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…