Hii ni mara ya kwanza kwa CHADEMA kuyumba baada ya kuingia kwenye mikono ya Lissu

'Raisi anateua wajumbe wote wa tume ya uchaguzi halafu Raisi huyo anagombea uraisi, tume ya uchaguzi iliyoteuliwa na Raisi yamtangaza Raisi kuwa mshindi wa uraisi....'
CHAUMMA, ACT wazalendo,NLD,TLP
Kama tatizo ni hili kaeni mezani vyama vyote myajenge, msitumie hasira kwasababu hasira ni hasara
 
Kohio Lissu alikinukisha kama alivyosema sio
Ila sasa hatuni wabunge yaani wanachama nikama wanataka kusambaratika hiyo ndiyo hofu kubwa tuliyonayo kwa sasa
Tena Lissu na viongozi wote wa CHADEMA, wapongezwe sana, kwa kutoingia kwenye uchaguzi huu. Hebu fikiria, mtu anatamba kuwa, alipigiwa kura na wapiga kura zaidi ya M31, mpaka ilipofika saa 4 asubuhi.
CHADEMA wangeingia kwenye uchaguzi huo, wangeumia sana kwa kupoteza fedha, pamoja na muda. Waangalizi wanasema uchaguzi ulishafanyika kabla siku ya uchaguzi!
 
Au lengo la CHADEMA nikutengeneza njia kwanza!
 
Back
Top Bottom