Hii ni mara ya kwanza kwa CHADEMA kuyumba baada ya kuingia kwenye mikono ya Lissu

Bandiko reeefuuuu ila upupu mtupu. Watu kama nyie nidhaifu kwa kila idara. Mnakubali malipo ya kijinga kupiga pfopaganda za ki$engerema mtakuja mliwe 0713.
 
TAL,genius aliyeleta upinzani wa kweli Tanzania tangu upinzani uasisiwe mwaka 1992,wengine ndivyo tunavyomtazama mwamba kutoka singida.
 
Upo sahihi, taarifa zote ulizotoa ni sahihi, lakini angalo kidogo changamoto zilikuwa za kawaida
Hizi za sasa nikama Chama kinataka kufa
Vyama vingapi vimekufa hauja fungua uzi why Chadema
 
Lakini mkojo huu wa firauni utakumbukwa baada ya Chama kufa
Mjinga akikumbushwa kuwa yeye ni mjinga na anaona fahari, huyo kaongeza sifa nyingine ya wehu!
There you are!
 
Kuna matatizo mengine yanatokea wala huwezikuelewa ilitokeaje lakini naweza kusema ni mkono uliteleza bahati mbaya hayo ndiyo mawazo yangu kama Mwananchi sio Mwanasiasa
Nchi kaeni chini myajenge wekeni hasira pembeni
 
uko na Abdul au uko kwa Wanu?
 
Haya ni malalamiko, mashitaka au maoni? Cuf Ina wabumge wangapi?
 
Talkin like a true pussy
 
'Raisi anateua wajumbe wote wa tume ya uchaguzi halafu Raisi huyo anagombea uraisi, tume ya uchaguzi iliyoteuliwa na Raisi yamtangaza Raisi kuwa mshindi wa uraisi....'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…