Kama tatizo ni hili kaeni mezani vyama vyote myajenge, msitumie hasira kwasababu hasira ni hasara'Raisi anateua wajumbe wote wa tume ya uchaguzi halafu Raisi huyo anagombea uraisi, tume ya uchaguzi iliyoteuliwa na Raisi yamtangaza Raisi kuwa mshindi wa uraisi....'
CHAUMMA, ACT wazalendo,NLD,TLP
Mnaharibu majina ya watu. Ionekane wenye majina hawana akili kumbe....Baada ya CHADEMA kumfia Lissu utakumbuka huu uzi, bado mapema sana
Tena Lissu na viongozi wote wa CHADEMA, wapongezwe sana, kwa kutoingia kwenye uchaguzi huu. Hebu fikiria, mtu anatamba kuwa, alipigiwa kura na wapiga kura zaidi ya M31, mpaka ilipofika saa 4 asubuhi.Kohio Lissu alikinukisha kama alivyosema sio
Ila sasa hatuni wabunge yaani wanachama nikama wanataka kusambaratika hiyo ndiyo hofu kubwa tuliyonayo kwa sasa
Au lengo la CHADEMA nikutengeneza njia kwanza!Tena Lissu na viongozi wote wa CHADEMA, wapongezwe sana, kwa kutoingia kwenye uchaguzi huu. Hebu fikiria, mtu anatamba kuwa, alipigiwa kura na wapiga kura zaidi ya M31, mpaka ilipofika saa 4 asubuhi.
CHADEMA wangeingia kwenye uchaguzi huo, wangeumia sana kwa kupoteza fedha, pamoja na muda. Waangalizi wanasema uchaguzi ulishafanyika kabla siku ya uchaguzi!