mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Nitumie pm mimi niilete hapaSiungi mkono polisi kupigwa , wala polisi kuonea watu, lakini inafikirisha kidogo, haiwezekani eneo moja hilo hilo mpigwe na kuzomewa mara mbili na mshindwe kufanya kazi iliyowapeleka pale isipokuwa operation mfanyayo ni batili
Wakiwa kwenye msako wa kukamata bodaboda wakorofi kila wakifika mtaa wa ndanda na narungombe ni kichapo tu na aibu kutoka kwa vijana wa kisambaa waendeshao bodaboda
Na hii inathibitisha udhaifu wa polisi au dhulma waifanyayo
Kama wasemavyo vita inaweza kuanzia huku huku kwenye bodaboda na machinga, sikuamini macho yangu, polisi anachangiwa mpaka wanakula kona😂😂🤣🤣🤣, picha ipo ila kimaadili haifai kuwekwa hapa
Kazi kwenu
No, ni udhalilifu kwa kweliNitumie pm mimi niilete hapa
HaitapendezaHakuna hata kapicha kakusindikizia Uzi?
Kwahiyo kumzuia polisi asifanye kazi kwa usahihi ni sawa tu?mkuu unazungumzia polisi kupigwa au kuzongwa zongwa na wasifanye kazi kwa usahihi???
wapige polisi halafu waendelee kukaa hapo kijiweni[emoji28][emoji28][emoji28]hauko serious.
aither umeonewa au umefanya kosa,kitendo cha kumpiga askari ni kutafuta kesi ya msingi kabisa,inayoweza kusababisha kufungwa,kulemazwa au kufa kabisa.
Sas umeipiga ya nini? Na umesema picha ipo ili iweje? Wacha hiyo ujinga wewe weka hiyo pichaNo, ni udhalilifu kwa kweli
So haiwezi enda public never ever
Si sahihiWeka picha
NooooSas umeipiga ya nini? Na umesema picha ipo ili iweje? Wacha hiyo ujinga wewe weka hiyo picha
Na tena anasema picha zipo, sasa hapo si rahisi tu kuzipitia na kuwakamata waliohusika...bila hata kutumia nguvu ya ziada...unadaka mmoja baada ya mwingine...akikaa ndani miaka miwili mitatu atakuwa Mwalimu wa wengine juu ya kufuata sheria.mkuu unazungumzia polisi kupigwa au kuzongwa zongwa na wasifanye kazi kwa usahihi???
wapige polisi halafu waendelee kukaa hapo kijiweni[emoji28][emoji28][emoji28]hauko serious.
aither umeonewa au umefanya kosa,kitendo cha kumpiga askari ni kutafuta kesi ya msingi kabisa,inayoweza kusababisha kufungwa,kulemazwa au kufa kabisa.
Hivi kweli uone polisi anapigwa inafurahisha?Huu ni uzwazwa
Sasa picha kimaadili haiswihi ila taarifa inaswihi?
Kwani polisi ni Mungu?Hivi kweli uone polisi anapigwa inafurahisha?
Hapana aisee sio vyema
Mkuu, unazungumzia polisi au wale wagambo waliowekwa kufanya operation uchwara ya kionevu kuwaonea bodaboda vijiweni kwa kisingizio cha wrong parking na kisha kuwatoza faini ya 70,000/?Siungi mkono polisi kupigwa , wala polisi kuonea watu, lakini inafikirisha kidogo, haiwezekani eneo moja hilo hilo mpigwe na kuzomewa mara mbili na mshindwe kufanya kazi iliyowapeleka pale isipokuwa operation mfanyayo ni batili
Wakiwa kwenye msako wa kukamata bodaboda wakorofi kila wakifika mtaa wa ndanda na narungombe ni kichapo tu na aibu kutoka kwa vijana wa kisambaa waendeshao bodaboda
Na hii inathibitisha udhaifu wa polisi au dhulma waifanyayo
Kama wasemavyo vita inaweza kuanzia huku huku kwenye bodaboda na machinga, sikuamini macho yangu, polisi anachangiwa mpaka wanakula kona[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787], picha ipo ila kimaadili haifai kuwekwa hapa
Kazi kwenu
Ni wote kwa pamoja na polisi n auniform zao wapo na silaha zipo na vitasa vikapigwa na kukimbia wakakimbia,Mkuu, unazungumzia polisi au wale wagambo waliowekwa kufanya operation uchwara ya kionevu kuwaonea bodaboda vijiweni kwa kisingizio cha wrong parking na kisha kuwatoza faini ya 70,000/?
Kama ni hao sio polisi ni wagambo na kipigo ni haki yao kabisa [emoji106]
Kwahiyo kumzuia polisi asifanye kazi kwa usahihi ni sawa tu?
Any way vitasa vimetembea hapa na ndio kinachonishangaza imekuwaje? Ndio nikasema labda operation ni batiliiiii
Kwanini wawe wapole?
anachangiwa mpaka wanakula kona😂😂🤣🤣🤣, picha ipo ila kimaadili haifai kuwekwa hapa
Kazi kwenu
Mkuu, unazungumzia polisi au wale wagambo waliowekwa kufanya operation uchwara ya kionevu kuwaonea bodaboda vijiweni kwa kisingizio cha wrong parking na kisha kuwatoza faini ya 70,000/?
Kama ni hao sio polisi ni wagambo na kipigo ni haki yao kabisa [emoji106]