Mbona hawautolei neno kuhusu ushenzi wa wakoloni kule Kongo na nchi zingine?
Mbona hawautolei neno kuhusu ushenzi wa Trump wa kuvàmia nchi kihuni?
Tanzania nchi huru , tutakua hata bila wao. Maendeleo ni progressive, hata wao Ulaya walienda Polepole mpaka hapo walipo