Hii ni mfano wa prototype ya kiwanja cha KiA kitakavyokuwa kama nikiwa Rais wa Tanzania

Hii ni mfano wa prototype ya kiwanja cha KiA kitakavyokuwa kama nikiwa Rais wa Tanzania

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Hata sisi waafrika mambo mazuri tunaweza yafanya, ifuatayo ni prototype ya uwanja wa KIA utakavyokuwa sio kinyonge tena sio lazima uwe hivyo ila point ni kwamba lazima uwe mzuri

749d270e9d581b5c664575ddaf4bd8eb5ffb2f38.jpeg


Lazima ufahamu hata sisi mambo mazuri tunaweza yafanya
#no mediocre#
Na KIA ni mfano tu viwanja vyote vitakuwa vizuri
 
Kila mtu nnje ya ccm ana akili kukuzidi hata wewe Mr Robert , wewe unataka kuwa raisi kwa chama kipi na katiba ipi🤔
Kweli aisee, nje ya mfumo wa ccm kila mtu ni genius. Ukishaingia huko sijui ni kitu gani, lazima uendane na mfumo wao mfu!
 
Aiseeee Robert sio siri napenda sana mawazo yako..
Niseme tuu we jamaa ni genius...
 
Kweli aisee, nje ya mfumo wa ccm kila mtu ni genius. Ukishaingia huko sijui ni kitu gani, lazima uendane na mfumo wao mfu!
Sure kaka mkubwa Mr robati anatuona viazi tunapo lilia reform 😂
 
Kwa hiyo tusiwe na mawazo positive kwa sababu tu kuna ambao walifeli fikra za wapi hizi
Tuwe positive mkuu, wala sio shida ILA ni muhimu kuhakikisha mfumo uliopo unapigwa chini kwanza ndio uingie na kutekeleza hayo maono yako.
 
Back
Top Bottom