Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #61
Pasuka, vimba, tukana matudi yote huku duniani, fahamu mimi ni miongoni mwa m-Rais watarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaAtawatawala nyie wapumbavu
Pasuka, vimba, tukana matudi yote huku duniani, fahamu mimi ni miongoni mwa m-Rais watarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaAtawatawala nyie wapumbavu
Exactly ni kiwanja cha Newark Liberty International AirportNewark Liberty International Airport
International airport in New Jersey
Kivutio #1 ni wingi wa abiria hata kama ingekuwa porini.Viwanja vya kisasa na vizuri vitavutia ndege nyingi kutumia viwanja vya Tanzania
Endelea kutawaliwa na CcmAtawatawala nyie wapumbavu
Huna akili weweEndelea kuona hivyo hivyo
kama mtu akisema tunaweza kuwa na viwanja vizuri kama nchi za Western unamuona dish limeyumba basi kama nchi tunasafari ndefu sana
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaHuna akili wewe
Sio tatizo mkuu muhimu ugali unashukaEndelea kutawaliwa na Ccm
mweshimiwa president mapato ya ndan watu hawataki kulipa kodiHata sisi waafrika mambo mazuri tunaweza yafanya, ifuatayo ni prototype ya uwanja wa KIA utakavyokuwa sio kinyonge tena sio lazima uwe hivyo ila point ni kwamba lazima uwe mzuri
View attachment 3348938
View attachment 3348937
Lazima ufahamu hata sisi mambo mazuri tunaweza yafanya
#no mediocre#
Na KIA ni mfano tu viwanja vyote vitakuwa vizuri
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaRais wa wanaokojoa kitandani.................