Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Nimeshaamua kukupuuzia mda sanaKila mtu nnje ya ccm ana akili kukuzidi hata wewe Mr Robert , wewe unataka kuwa raisi kwa chama kipi na katiba ipi🤔
Kweli aisee, nje ya mfumo wa ccm kila mtu ni genius. Ukishaingia huko sijui ni kitu gani, lazima uendane na mfumo wao mfu!Kila mtu nnje ya ccm ana akili kukuzidi hata wewe Mr Robert , wewe unataka kuwa raisi kwa chama kipi na katiba ipi🤔
Mbona JPM aliweza akiwa ndani ya CCM?Kila mtu nnje ya ccm ana akili kukuzidi hata wewe Mr Robert , wewe unataka kuwa raisi kwa chama kipi na katiba ipi🤔
Kwa hiyo tusiwe na mawazo positive kwa sababu tu kuna ambao walifeli fikra za wapi hiziKweli aisee, nje ya mfumo wa ccm kila mtu ni genius. Ukishaingia huko sijui ni kitu gani, lazima uendane na mfumo wao mfu!
Mimi nipo na ni mzalendo wa kweli/ dhati
Akaishia wapi bwashee?Mbona JPM aliweza akiwa ndani ya CCM?
Hata sisi vitu vizuri tunastahili kuwa navyoMkuu hongera sana, ni wachache wanaweza kukuelewa na kuelewa kile unchoandika. Binadamu tuna macho yote sawa, lakini sii kila wote tuna uwoni sawa...
Vishu ujue wewe ni mtu wa ajabu sana
Sure kaka mkubwa Mr robati anatuona viazi tunapo lilia reform 😂Kweli aisee, nje ya mfumo wa ccm kila mtu ni genius. Ukishaingia huko sijui ni kitu gani, lazima uendane na mfumo wao mfu!
Tuwe positive mkuu, wala sio shida ILA ni muhimu kuhakikisha mfumo uliopo unapigwa chini kwanza ndio uingie na kutekeleza hayo maono yako.Kwa hiyo tusiwe na mawazo positive kwa sababu tu kuna ambao walifeli fikra za wapi hizi
Why KIA na sio Dr. Samia Hassan International Dodoma?Hata sisi waafrika mambo mazuri tunaweza yafanya, ifuatayo ni prototype ya uwanja wa KIA utakavyokuwa sio kinyonge tena sio lazima uwe hivyo ila point ni kwamba lazima uwe mzuri
View attachment 3348938
View attachment 3348937
Lazima ufahamu hata sisi mambo mazuri tunaweza yafanya
#no mediocre#