Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #21
KIA ni mfano tu ila viwanja vyote vya Tanzania vitakuwa vizuri na msalato unajengwa na serikali ndo maana sijautolea mfano ila viwanja vyote vitakuwa vizuriWhy KIA na sio Msalato International Dodoma?
Lakini alipanda mbegu ya utambuzi kwetuAkaishia wapi bwashee?
Acha kuwapuuza wapiga kura wako. Au utaingia madarakani kwa kupindua serikali?Nimeshaamua kukupuuzia mda sana
Wa ajabu kivipi mkuu, mimi namtakia kila lenye kheri ndgu yetu awe raisi.Vishu ujue wewe ni mtu wa ajabu sana
Kaka siwezi ficha japo mwamba kwa vile vizuri nilimkubali mno ila siwezi bisha legacy yake ni haya madudu ya leoLakini alipanda mbegu ya utambuzi kwetu
kwani ni kosa kwa mtanzania kuwa na ndoto ya kugombea urais wa Tanzania au urais wa Tanzania ni exclusive kwa TanzaniaAcha kuwapuuza wapiga kura wako. Au utaingia madarakani kwa kupindua serikali?
Kuna jamaa kanifata pm anasema niwe makini na wewe maana ndo dennis mwenyeweWa ajabu kivipi mkuu, mimi namtakia kila lenye kheri ndgu yetu awe raisi.
Kama wazungu wameweza kuwa na viwanja vya ndege vizuri vile kumbuka ni binadamu kama weweKaka siwezi ficha japo mwamba kwa vile vizuri nilimkubali mno ila siwezi bisha legacy yake ni haya madudu ya leo
Akiukwaa uraisi nakua makamu.Kuna jamaa kanifata pm anasema niwe makini na wewe maana ndo dennis mwenyewe
Kuna vitu nakubali ila nakubali kwa misingi ipi ndio tatizo, sidili na matokea na dili na changamoto za matokeo ,no reform no election ✌️Kama wazungu wameweza kuwa na viwanja vya ndege vizuri vile kumbuka ni binadamu kama wewe
Wewe mwafrika kwanini unashindwa kuwa navyo au vitu vizuri ni kwa ajili ya wazungu tu
Pesa utatoa wapi?Hata sisi waafrika mambo mazuri tunaweza yafanya, ifuatayo ni prototype ya uwanja wa KIA utakavyokuwa sio kinyonge tena sio lazima uwe hivyo ila point ni kwamba lazima uwe mzuri
View attachment 3348938
View attachment 3348937
Lazima ufahamu hata sisi mambo mazuri tunaweza yafanya
#no mediocre#
Na KIA ni mfano tu viwanja vyote vitakuwa vizuri
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Ndo mana nasema nyie mnajuanaAkiukwaa uraisi nakua makamu.
Una mpango wa kugombea uraisi lini....2025, 2030, 2035, 2040...???Hata sisi waafrika mambo mazuri tunaweza yafanya, ifuatayo ni prototype ya uwanja wa KIA utakavyokuwa sio kinyonge tena sio lazima uwe hivyo ila point ni kwamba lazima uwe mzuri
View attachment 3348938
View attachment 3348937
Lazima ufahamu hata sisi mambo mazuri tunaweza yafanya
#no mediocre#
Na KIA ni mfano tu viwanja vyote vitakuwa vizuri
Viwanja vya ndege vitatengenezwa na fedha za ndani mfano kila mwaka inatengwa billion 300+ kwa ajili ya magari instead kutumika kwenye kununua magari itatumika kwenye kujenga hivyo viwanja vya ndegePesa utatoa wapi?
Maana wewe siyo mungu, kwamba vitu vitakuwa vinakuwepo kwa kutamka tu
Magufuli aliharibu na kinachoendelea sasa angekuwepo ingeshavurugika hii nchiMbona JPM aliweza akiwa ndani ya CCM?
Ntawajulisha sahivi nafanya PRUna mpango wa kugombea uraisi lini....2025, 2030, 2035, 2040...???
Don Nalimison tulikumiss sana.Hata sisi waafrika mambo mazuri tunaweza yafanya, ifuatayo ni prototype ya uwanja wa KIA utakavyokuwa sio kinyonge tena sio lazima uwe hivyo ila point ni kwamba lazima uwe mzuri
View attachment 3348938
View attachment 3348937
Lazima ufahamu hata sisi mambo mazuri tunaweza yafanya
#no mediocre#
Na KIA ni mfano tu viwanja vyote vitakuwa vizuri
Kwahiyo serikali haitakuwa na magariViwanja vya ndege vitatengenezwa na fedha za ndani mfano kila mwaka inatengwa billion 300+ kwa ajili ya magari instead kutumika kwenye kununua magari itatumika kwenye kujenga hivyo viwanja vya ndege
Kabisa mkuu sema ni bahati mbaya alifariki kabla ya kutimiza ndoto yakeKaka siwezi ficha japo mwamba kwa vile vizuri nilimkubali mno ila siwezi bisha legacy yake ni haya madudu ya leo
Naomba kazi ya planning and fundraisingNtawajulisha sahivi nafanya PR