Hii ni mfano wa prototype ya kiwanja cha KiA kitakavyokuwa kama nikiwa Rais wa Tanzania

Kama wazungu wameweza kuwa na viwanja vya ndege vizuri vile kumbuka ni binadamu kama wewe
Wewe mwafrika kwanini unashindwa kuwa navyo au vitu vizuri ni kwa ajili ya wazungu tu
Toa hoja na mantiki ya kiakili , inakua vipi wewe unaonekana ni kiazi tu usiye na upeo wowote wa hata ya kupambania maisha yako ila ukawa na uwezo wa kuipambania Tanzania hii ya ccm?
 
Hadi sasa kuna kitu gani ambacho kipo ndani ya uwezo wako umeshikifanya kinachoweza kuonekana?

 
Sababu ni moja tu, watu wake hawana AKILI (hii comment isomwe kwa kutumia AKILI)
Sio kweli kwamba watu wake hawana akili point ni moja wenye akili hawajihusishi na siasa

Na hata kwenye siasa wenye akili wapo ila wachache sana, lakin wenye akili wakiingia kwenye siasa na wakawa wengi basi maendeleo yataonekana
 
Kila mtu nnje ya ccm ana akili kukuzidi hata wewe Mr Robert , wewe unataka kuwa raisi kwa chama kipi na katiba ipišŸ¤”
Kila mtu nnje ya ccm ana akili kukuzidi hata wewe Mr Robert , wewe unataka kuwa raisi kwa chama kipi na katiba ipišŸ¤”
Anaweza akagombea kama rasimu ikipita ikawq katiba akapita kupitia mgombea binafsi.
 
Newark Liberty International Airport


International airport in New Jersey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…