MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Ingawa vifo humhuzunisha yeyote ila vinapishana viwango vya huzuni. Kwa mfano huzuni ya kufiwa na mama haiwezi kuwa sawa na huzuni ya kufiwa na girlfriend. Sasa hawa nitakaowataja kwenye huu uzi walikuwa watu maarufu ambao sikuwa na ukaribu nao wowote ila vifo vyao vilinifanya nihuzunike kama vile nimefiwa na ndugu zangu wa damu.
1. Seth (Bikra wa kisukuma)
Huyu alikuwa mjasiriamali na mtumiaji mzuri wa mitandao enzi za uhai wake. Pia mtangazaji wa EFM. Akiwa bado kijana mdogo anayeanza kuibuka kwa kasi kimafanikio akapatwa na umauti. Nilihuzunika sana.
2. William Malecela (Lemutuz)
naye alikuwa mtumiaji mkubwa wa mitandao, kada wa CCM na mjasiriamali. Binafsi sikuwahi kuwa na tatizo na lifestyle yake na nilikuwa mfuatiliaji mkubwa wa posts zake hasa ile ya STRAIGHT TALK. Kilichonihuzunisha zaidi ni kitendo cha shetani Mange (mmiliki wa CHADEMA kwa sasa) kumshambulia Lemutuz kwenye siku za mwisho wa uhai wake na kusababisha Lemutuz kushindwa kuongea na watoto wake.
3. Princess Diana
Huyu mwanamama alifariki nikiwa bado shule ya msingi. Kabla ya kifo chake nilikuwa namsoma sana magazetini na kumsikia redioni kwa Charity works alizokuwa anafanya. Ilikuwa ghafla sana.
4. Steven Kanumba
5. Nasma Khamis Kidogo
6. Shenaz
7. Lilian Gosbert
8. Father Nelly wa Xplastaz
9. Kada wa CHADEMA kule Bumbuli Tanga alifariki kwa ajali ya gari karibia na uchaguzi mkuu mwaka 2015. Nitafuatilia jina lake na kuweka hapa.
10. Alphonce Mawazo
Kwa msiofahamu ni kuwa nilishawahi kuishi kata ya Sombetini wakati mawazo akiwa kiongozi. Huyu jamaa tulimkubali sana kuliko hata Bananga.