EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Kuna mijitu ina laana sana ona mama wa Lucas Mwashambwa anavyodhalilika lakini lenyewe liko bize kumsifia mama wa mwenzake abduli
Njoo tuchat kidogo rafiki yangu.ni mateso na maumivu binadamu hawana huruma wanaitaka roho yangu😭😭😭😭😭
Acha uongo,hao mafisadi kila siku wanaiba ela zetu na wanazidi kutajirika!Unachotoa ndicho unachopokea. It is the rule of the game.
We are living in a simulation. The energies around you can be manipulated to bring about a particular simulation or experience.
You unconsciously simulated a better result.
Cc: DR Mambo Jambo
Inasikitisha sana mkuu 😭Inakuwaje wewe unasikitika kwa kila jambo siku hizi?
Upo 'conflicted' kwelikweli ndani ya akili zako siku hizi; hujui ubaki "unatiki", au uamue kuliokoa taifa hili kwa kukubali "NORNOE".
Huwezi kubaki katikati, ni lazima uamue, wakati ndio huu!
Kwanza niseme tu kwa huyo konda ALIKUWA SAHIHI KUDAI HAKI YAKE,labda kama katumia lugha mbaya hiyo ndio mbaya. Lkn kudai nauli kamili alikuwa sahihi kwa sababu na yeye anapopeleka fedha kwa mwajiri wake fedha ikipungua anakumbana na misukosuko isiyomithilika.Leo nilikua nasafiri kuelekea Morogoro Wakati nipo kwenye gari ya Temeke-Mbezi (Dala Dala) konda akaanza kukusanya pesa kama kawaida yao .
Ghafla tukaanza kusikia malumbano
Sauti Kali ya konda ilisikika .
"Kwa Nini hukunambia mwanzo...
"We bibi mwanga nini
"Mapema yote hii
"Hujui iyo iyo100 Kubwa ,
"Usinitafutie matatizo naomba 100 yangu nauli haijatimia hii .
Maneno yote hayo alikua anaambiwa mama mtu mzima tena kachoka hasa .
Watu wote kwenye gari kimya, Bibi wa watu kainamia chini ,Sauti ya konda Kali ilitawala ndani ya Dala dala.
Nilijiuliza sh 100 huyu konda ndo yamtoke maneno yote, Ukingalia umri wa huyu abilia ni kama mama yake.
Konda huyu alikua na macho mekundu mithili ya pili pili iliyoiva, Mdomo wake ulikua mweusi tiii .
Roho iliniuma maana niliona kama mama yangu anaambiwa vile.
Nilitoa noti ya shilingi elfu 10 Kisha nikampa konda .
"Hiyo elfu 10 kata tsh 100 unayomdai huyo mama Kisha chenji inayobaki mpatie huyo mama.
Watu wote wakageuka nyuma maana niliongea kwa hisia sana .
Konda hakuongea tena, Hakuweza kunitazama usoni haya ilimshika, sura lake lilikua kama mgonjwa wa bawasiri akijisaidia haja kubwa chooni.
Yule mama kwa sauti ya chini iliyochanganyika na mfadhahiko huku macho yake yakilengwa na machozi kwa mbali akasema "ahsante mwanangu Mungu akubariki"
Gari lilifika mbezi mwisho nikashuka safari ikaanza kuelekea Morogoro.
Wakati nipo kwenye gari simu iliita namba ngeni ikinijulisha Kuwa maombi Yako ya kazi yamejibiwa hivyo angalia Katika Email Yako.
Nilishutka sana maana Miezi 3 sasa imepita tangu nitume maombi ya kazi CRDB BANK, kiukweli nilishakataga tamaa.
Email yangu inaonesha nimekubaliwa, Jumatatu inahitajika niwasili ofsni nikiwa na vyeti vyangu original.
Ilinibidi nishuke kituo cha Ruvu nikuludi nyumbani.
Morogoro nilikua naenda kwa Rafiki yangu Michael mtoto wa Mzee Makacha kumsalimia.
Nimejifunza kitu kupitia tukio hili.
Karma IPO, Utalomfanyia mtu nawe utafanyiwa either kwa direct or indirect hivyo tujikite kufanya mema .
Alafu, Kama jambo lipo ndani ya uwezo wako msaidie huyu mtu usiwe kikwazo
Niamini Mimi, Mungu yupo na atakulipa .
Asante sana mkuu kwa kushiriki kisa hiki cha kusisimua na kugusa moyo – kina mafunzo makubwa na kinaonyesha hali halisi ya maisha ya kila siku kwenye jamii yetu.Leo nilikua nasafiri kuelekea Morogoro Wakati nipo kwenye gari ya Temeke-Mbezi (Dala Dala) konda akaanza kukusanya pesa kama kawaida yao .
Ghafla tukaanza kusikia malumbano
Sauti Kali ya konda ilisikika .
"Kwa Nini hukunambia mwanzo...
"We bibi mwanga nini
"Mapema yote hii
"Hujui iyo iyo100 Kubwa ,
"Usinitafutie matatizo naomba 100 yangu nauli haijatimia hii .
Maneno yote hayo alikua anaambiwa mama mtu mzima tena kachoka hasa .
Watu wote kwenye gari kimya, Bibi wa watu kainamia chini ,Sauti ya konda Kali ilitawala ndani ya Dala dala.
Nilijiuliza sh 100 huyu konda ndo yamtoke maneno yote, Ukingalia umri wa huyu abilia ni kama mama yake.
Konda huyu alikua na macho mekundu mithili ya pili pili iliyoiva, Mdomo wake ulikua mweusi tiii .
Roho iliniuma maana niliona kama mama yangu anaambiwa vile.
Nilitoa noti ya shilingi elfu 10 Kisha nikampa konda .
"Hiyo elfu 10 kata tsh 100 unayomdai huyo mama Kisha chenji inayobaki mpatie huyo mama.
Watu wote wakageuka nyuma maana niliongea kwa hisia sana .
Konda hakuongea tena, Hakuweza kunitazama usoni haya ilimshika, sura lake lilikua kama mgonjwa wa bawasiri akijisaidia haja kubwa chooni.
Yule mama kwa sauti ya chini iliyochanganyika na mfadhahiko huku macho yake yakilengwa na machozi kwa mbali akasema "ahsante mwanangu Mungu akubariki"
Gari lilifika mbezi mwisho nikashuka safari ikaanza kuelekea Morogoro.
Wakati nipo kwenye gari simu iliita namba ngeni ikinijulisha Kuwa maombi Yako ya kazi yamejibiwa hivyo angalia Katika Email Yako.
Nilishutka sana maana Miezi 3 sasa imepita tangu nitume maombi ya kazi CRDB BANK, kiukweli nilishakataga tamaa.
Email yangu inaonesha nimekubaliwa, Jumatatu inahitajika niwasili ofsni nikiwa na vyeti vyangu original.
Ilinibidi nishuke kituo cha Ruvu nikuludi nyumbani.
Morogoro nilikua naenda kwa Rafiki yangu Michael mtoto wa Mzee Makacha kumsalimia.
Nimejifunza kitu kupitia tukio hili.
Karma IPO, Utalomfanyia mtu nawe utafanyiwa either kwa direct or indirect hivyo tujikite kufanya mema .
Alafu, Kama jambo lipo ndani ya uwezo wako msaidie huyu mtu usiwe kikwazo
Niamini Mimi, Mungu yupo na atakulipa .
"Kama jambo lipo ndani ya uwezo wako msaidie huyu mtu, usiwe kikwazo. Niamini mimi, Mungu yupo na atakulipa."
OohSiwez ingia mule najaribu inashindikana
Au wewe ndio yule konda😂Wewe ni kichaa kabisa, period
Braza usinifokee.Acha uongo,hao mafisadi kila siku wanaiba ela zetu na wanazidi kutajirika!
Ayo ni maneno ya sisi masikini kujifariji.
God is always good for usLeo nilikua nasafiri kuelekea Morogoro Wakati nipo kwenye gari ya Temeke-Mbezi (Dala Dala) konda akaanza kukusanya pesa kama kawaida yao .
Ghafla tukaanza kusikia malumbano
Sauti Kali ya konda ilisikika .
"Kwa Nini hukunambia mwanzo...
"We bibi mwanga nini
"Mapema yote hii
"Hujui iyo iyo100 Kubwa ,
"Usinitafutie matatizo naomba 100 yangu nauli haijatimia hii .
Maneno yote hayo alikua anaambiwa mama mtu mzima tena kachoka hasa .
Watu wote kwenye gari kimya, Bibi wa watu kainamia chini ,Sauti ya konda Kali ilitawala ndani ya Dala dala.
Nilijiuliza sh 100 huyu konda ndo yamtoke maneno yote, Ukingalia umri wa huyu abilia ni kama mama yake.
Konda huyu alikua na macho mekundu mithili ya pili pili iliyoiva, Mdomo wake ulikua mweusi tiii .
Roho iliniuma maana niliona kama mama yangu anaambiwa vile.
Nilitoa noti ya shilingi elfu 10 Kisha nikampa konda .
"Hiyo elfu 10 kata tsh 100 unayomdai huyo mama Kisha chenji inayobaki mpatie huyo mama.
Watu wote wakageuka nyuma maana niliongea kwa hisia sana .
Konda hakuongea tena, Hakuweza kunitazama usoni haya ilimshika, sura lake lilikua kama mgonjwa wa bawasiri akijisaidia haja kubwa chooni.
Yule mama kwa sauti ya chini iliyochanganyika na mfadhahiko huku macho yake yakilengwa na machozi kwa mbali akasema "ahsante mwanangu Mungu akubariki"
Gari lilifika mbezi mwisho nikashuka safari ikaanza kuelekea Morogoro.
Wakati nipo kwenye gari simu iliita namba ngeni ikinijulisha Kuwa maombi Yako ya kazi yamejibiwa hivyo angalia Katika Email Yako.
Nilishutka sana maana Miezi 3 sasa imepita tangu nitume maombi ya kazi CRDB BANK, kiukweli nilishakataga tamaa.
Email yangu inaonesha nimekubaliwa, Jumatatu inahitajika niwasili ofsni nikiwa na vyeti vyangu original.
Ilinibidi nishuke kituo cha Ruvu nikuludi nyumbani.
Morogoro nilikua naenda kwa Rafiki yangu Michael mtoto wa Mzee Makacha kumsalimia.
Nimejifunza kitu kupitia tukio hili.
Karma IPO, Utalomfanyia mtu nawe utafanyiwa either kwa direct or indirect hivyo tujikite kufanya mema .
Alafu, Kama jambo lipo ndani ya uwezo wako msaidie huyu mtu usiwe kikwazo
Niamini Mimi, Mungu yupo na atakulipa .
[emoji477][emoji477]Leo nilikua nasafiri kuelekea Morogoro Wakati nipo kwenye gari ya Temeke-Mbezi (Dala Dala) konda akaanza kukusanya pesa kama kawaida yao .

Sawa mkuu, mapema tu 🤣🤣Ukijirekebisha nipo kwa ajili ya majaribio, nmekutumia namba.....jina linakuja Eve.
Sio roho mbaya ya kumfanyia mtu unyama, ila tu ule moyo wa huruma na kijali ndio umepungua.Unangalia wa kumfanyia roho mbaya