Miaka 6 unajivunia kakiwanda kamoja ambako Nako kamekailika kwa kuwezeshwa na awamu ya 6..
As we speak by 2025 hakuna hata kilo moja ya sukari itaagizwa kutoka nje maana investor wa Kilbero sugar kaingiza zaidi ya bil.725 kwenye sukari na huyu wa Bakhessa nae anaanza awamu ya pili ya uwekezaji Ili kufikia full capacity..
Sio tuu Sukari bali hata mbolea za mazao hakuna hata mfuko mmja utaagizwa kutoka nje by huo mwaka..As we speak kiwanda cha intracom fertilizer cha dodoma kimeanza uzalishaji wa awali na Mwaka huu tunatumia mbolea hizo..
Kwenye viwanda usije mlinganisha SSH na JPM utaaibika bure.