Hii ni moja ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli

Yaani Tajiri apige kazi, aingize mtaji, alipe wafanyakazi, kisha credit ziende kwa rais kwa sababu kampa ardhi?
Kwa nini ampe mmoja na si wengi ili uwepo ushindani nchini?
Unafikiri bila serikali kuwawezesha matajiri wanaweza kupiga kazi?
 
Niliuzaga bei yake kwa kg1 ni tsh ngapi mpaka leo sijapata jibu humu

Ova
Sababu ni Oligopoly tegemea bei kufanana kama vifurushi vya sumu, petroli na bidhaa nyengine. Serikali itapanga range ya bei ambayo haitokuwa tofauti na viwanda vingine.
 
Kazi nzuri ni KUVURUGA UCHAGUZI na Suala la Tundu lissu na Ben saanane
 
Umesahau hayo mawazo yalianzishwa na JPM na huyo awamu ya sita bila uchaguzi ameyakuta kwenye mwendo?
 
Kabisa.

Sio hayo tu kuna mengi kama Kuunganishwa umeme kwa tshs 27000.

Hayati alikuwa mtu haswaa.
 
Umesahau hayo mawazo yalianzishwa na JPM na huyo awamu ya sita bila uchaguzi ameyakuta kwenye mwendo?
JPM alikuta Nchi hii haina kiwanda cha Sukari?

JPM aliyedharau na kuua kilimo wapi uliwahi msikia akizungumzia mbolea?

JPM si alikuwa anazindua vyerehani na vijiwe vya kuchomelea akiita viwanda au? πŸ˜„πŸ˜„.

Acha masihara mkuu,Tanzania Halisi ya viwanda italetwa na sera nzuri za serikali ya Samia na ndio ataacha alama Nchi hii πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20220528_003540.jpg
    87.2 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…