Ndukidi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,499
- 1,297
Tumelishwa uongo mwingi Sana kuhusu huyu Alhajji.
Wakati wa vita na Uganda, kuikuwa na propaganda nyingi sana za uongo kuhamasisha wanajeshi wetu wamchukie Amini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumelishwa uongo mwingi Sana kuhusu huyu Alhajji.
Kwamba alikuwa anakula nyama za watu kisha vichwa vyao anaviweka kwenye friji
Mama-yoIdd Amin ndio role model wa Magundu maana hata Idd Amin alikuwa hajui English
Mama yako hana? Basi mama yako ni kinyago aina ya kimong'omong'o ,tena ni kinyamkera kabisa Magundu nyieMama-yo
Lazima utakuwa umejazwa ujinga pale Mtambani.Huyu mwamba nilikuwa namkubali sana sema historia ya uongo inamchafua nyuma ya pazia
Mama yako hana? Basi mama yako ni kinyago aina ya kimong'omong'o ,tena ni kinyamkera kabisa Magundu nyie
Jiulize mwenyewe, hapa Ukija na akili zikiwa kwenye magwanda ya buku sabasaba naziondoa huko na kuzirudisha mahali pake.Mkuu bujibuji mbona unanitukuna? Na kunitukania mama Yangu? Mamayo ni tusi?
Sawa hadithi hizi ni msingi mzuri kwa propaganda na vita ni majira ya propaganda. Ila tu je ni kweli?(MWANAKA said Kwamba alikuwa anakula nyama za watu kisha vichwa vyao anaviweka kwenye friji)
Hii ilikuwa uongo, propaganda wakata wa vita.
Kuna nukuu nyingine ambayo sijakuta sasa uthibitisho wake, aliulizwa kama anakula nyama ya bindamu anasemekana alijibu "Sipendi, ladha yake ya chumvi". (too salty...)Amin’s bizarre behaviour [ … ] derives partly from his tribal background. Like many other warrior societies, the Kakwa, Amin’s tribe, are known to have practised blood rituals on slain enemies. These involve cutting a piece of flesh from the body to subdue the dead man’s spirit or tasting the victim’s blood to render the spirit harmless [ … ]. Such rituals still exist among the Kakwa. [ … ] Amin’s practices do not stop at tasting blood: on several occasions he has boasted to me and others that he has eaten human flesh. [ … H]e went on to say that eating human flesh is not uncommon in his home area. (Kyemba 109–10)
Sukari gulu hiiHuyu jamaa alimkamata mwandishi wa habari toka majuu alikuwa mwanamke
[emoji117] Kwanza akimnanihiii
[emoji117] Halafu akampiga mhuri wa moto papuchi kwa initial za jina lake. I.D
[emoji117] Alimuacha aende zake
Kama yuko hai papuchi yake akiiangalia anamkumbuka kidume
basi sawadoen't = doesn't
Huna tofauti na Jabali.
Ipi sasa, kwamba hakuvamia Kagera na kudai ni sehemu ya Uganda? kwamba hakuua Wapinzani wake?
labda kama zile za kuua mwanaye ndio hata mimi huwa kama siziaminiamini.
Alimwomba ampose malkia ili amalize kuitwa mfalme maana ndio cheo alichobakizaHis Excellency, President for Life, Field Marshal, Al Hadji Doctor, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.Idi Amin Dada
Uko chini ya 30yrsSukari gulu hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiangalia ile Documentary Idd Amin ndio utajua alikuwa mtata.[emoji16][emoji16][emoji1787] alafu chizi. Kuna sehemu ana sail na boti mtoni anaona mamba anasema they know me, anaongeza kumwambia Mtangazaji "ask them".
Ila alikuwa talented, kauli zake zingine na mzee Magu. Sawasawa[emoji1787][emoji1787]
Kama ningekuwa Amin bila shaka ningefanya mambo mapumbavu kama yeye,Ni Kwamba Julius Nyerere kupitia Yoweri Museven walikuwa wanapitisha Silaha kwa Siri kupitia Horohoro na kuzipeleka Uganda kuchochea Ghasia kuanzia 1972 ilipofika 1978 Ameen akaona ajitokeze kulinda mipaka yake
Museven kayasema hayo ya kutumiwa na Nyerere kuchochea ghasia wakati wa kufungua Bomba la Gesi
Jiulize ungekuwa wewe ndie Amin ungefanyaje?
Kama ningekuwa Amin bila shaka ningefanya mambo mapumbavu kama yeye,
Kama ningekuwa rais mwingine wa Uganda ningekuwa na chaguo kubwa sana kutochukiza wananchi wangu, kutowaangusha katika umaskini (kwa kufukuza Waganda Wahindi wote), kutotukana marais majirani, kutopokea pesa ya Ghaddafi kwa ahadi ya kufanya Uganda nchi ya Kiislamu, kusimamia jeshi na kutoruhusu uporaji na mauaji wa wananchi, na kadhalika.
Mashambulio ya Kagera hayakumsaidia kitu chochote; wala kupunguza upinzani, wala kujenga uhusiano na majirani. Yalisaidia tu kuchimba kaburi la urais wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rafiki yangu Mganda aliwahi kuniambia swali la mtihani linaweza kuwa taja majina na vyeo vya rais
Kupokea pesa- kitu kimoja. Kukubali mashariti, tena ya aina gani - kingine.Pesa za Gadafi hata Nyerere kapokea na akajengea Msikiti pale Butiama
Uislam hausambazwi kwa kupokea pesa za Waarabu
Ingekuwa hivyo Philadelphia au sijui Chicago kungekuwa hakuna Swala ya Ijumaa