Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Kuna mikakati mingi sana inapangwa ili.
1. kuwasahaulisha Watanganyika na mauaji ya October 29
2. Kufubaza harakati za Gen Z
3. Kuzoezwa uongo ili kuutambua uongozi batili
4. Kuacha kujadili kupanga na kuchambua mambo muhimu ya Tanganyika
Kabla ya October 29 walikuwa wameshawapumbaza vizuri sana Watanganyika na kuwaweka busy sana kupitia wasanii wa mziki wa kisasa na kupitia kabumbu
Abouturn iliyofanyika baada ya hapo ilizipoteza na kuzizamisha kabisa hizi sekta mbili za mziki na kabumbu ambazo walizitumia na kunufaika nazo vilivyo... !
Baada ya kuliona hilo na kugundua kuwa wameshapigwa mweleka mkubwa sana wa kata funua, wakaja na option ya kuwatumia wasanii wa maigizo na wachekeshaji kwa kuweka maudhui mitandaoni kuhusu maisha yao na vikashfa vya kutengeneza.. Hili nalo ni kama limefeli pakubwa
Sasa option ya sass no kuwatumia chawa wao wanaojiita influencers. Hawa nao wanatengeneza contents za bifu za kitoto na kindezi hasa
Pair ya kwanza inayotumika kwa ukubwa wake ni doto na godlove
Hivi umeona wapi wanaume wazima wanachambana, kutumiana ushoga na vitu vingi vya ajabu ajabu hata kuzidi wanawake!? Hawa sasa wamepitiliza lakini bado wameshindwa kabisa kuliamsha dude!
Najaribu kuwaza kwa sauti baada ya hii spinning kufeli watakuja na mbinu gani tena?
NB: chawa wao tunao hapa na wanafuatilia kwa karibu sana japo unawaona kabisa hawana morali kabisa.. Ni kama vile wanafanya kwa kulazimishwa!
Hawana kabisa like vibe la Gen Z na wazalendo wa Tanganyika