BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
SAMIA AWEZI KUFANIKIWA...KWANZA HANA AKILI KICHWANI ...NJIA PEKEE ALIYO BAKINAYO MKONONI NI KUJARIBU KUUZA NCHI NA KUIGAWA KWA WAARABU NA MABEBERI ILI KUJARIBU KUSUKUMA SIKU ZAKE MADARAKANI...MAANA UCHUMI UNAKWENDA KUKWAMA ,BAADA YA MIEZI 8 KUTOKA SASA .
Huwa sikurupuki hata siku moja kuandika kitu.. Ule uzi niliupa heading ya TAJIRI wa mchongo... Kilichotokea baada ya pale ndio kimezaa huu uzi na nitaendelea kuandika kadiri ninavyoona inafaaWewe mwenyewe mtu mzima umeingia kwenye mkumbo huo sembuse vijana. Ni juzi TU sijui ni kwa kukurupuka ulipandisha Uzi kuhusu magari ya huyo chifu nilishangaa sana.
Hakuna kitu kinachodumu milele
Ni suala la muda tu
Rise and fall ipo na
Fall and rise ipo
Ngoja tusubiri
Time only will tell
Nipo visiwani huku JAMAICA
BLACKTIGER
nazumzia wazalendo kwani kilimo ndio uti wa mgongo mekuWewe chawa sio kila mtu ni mkulima nchi hii.
ukiquote kwa nidhamu unapungukiwa nini au ni kutafuta umaarufu kwenye kikundi kidogo cha watu nduguhaishangazi mwana uvvcm ka wewe kuwa mpumbavu, maana ndio asili yenu.
Hivi hawa wasengelema wanatuchukuliaje kwani?Msanii wa Bongo Fleva, Abdukiba, anatajwa kuingia kwenye mvutano na muuza chips wa mtaani baada ya kukumbushwa deni la zamani la shilingi elfu kumi, madai ambayo yameibua mjadala mpana mitandaoni.
Kwa mujibu wa muuza chips huyo, ugomvi ulianza baada ya kumkumbusha msanii huyo deni la chakula walichokuwa wakichukua hapo awali. Anadai kuwa waliwahi kuchukua chips na kuku yenye thamani ya shilingi elfu 15, ambapo Abdukiba alitoa shilingi elfu tano na kubaki na deni la shilingi elfu kumi, jambo lililodaiwa kumkera msanii huyo.
Inadaiwa kuwa mvutano huo uligeuka kuwa vurugu zilizosababisha kioo cha gari la Abdukiba kupasuliwa. Kufuatia tukio hilo, muuza chips anasema kaka yake ambaye ni mmiliki wa kibanda hicho alipelekwa polisi, na baadaye wakatakiwa kulipia fidia ya shilingi laki tatu kwa uharibifu wa kioo cha gari hilo. Hata hivyo, kutokana na kushindwa kupata kiasi hicho, waliishia kulipa shilingi laki mbili.
Muuza chips huyo anasisitiza kuwa kwa mtazamo wao, Abdukiba ndiye aliyekuwa na kosa, hivyo hawawezi kumsamehe fedha walizodai kulipa. Anadai kuwa hata siku msanii huyo akifariki, watahudhuria msiba wake wakiwa na shilingi elfu kumi ya deni la chips pamoja na shilingi laki mbili walizolipa kama fidia.
#nifollow Zone TzView attachment 3531594
Ume jibiwa kutokana na uwezo wako wa kufikiriukiquote kwa nidhamu unapungukiwa nini au ni kutafuta umaarufu kwenye kikundi kidogo cha watu ndugu