Hii ni proof kuwa bila Marekani maisha hayawezekani

Hii ni proof kuwa bila Marekani maisha hayawezekani

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Angalia jana insta, whatsap na facebook ilivyopotea na watu tukapoteana kabisa. Tusijaribu kuwaita mabeberu mana wameshikilia maisha yetu na imawezekana walifanya hivyo ili waone how do we value them.

Hata case ya Mbowe wakiamua kumwambia samia amtoe gerezani fasta anamtoa vinginevyo wanamute internate na social media nchi inakuwa null and void.
 
Mkuu, ebu rekebisha hapo kwenye 'Wameshikiria Maisha yetu', weka 'Wameshikiria Maisha yangu'.

Sie wengine Maisha yetu yapo Mikononi mwa Mungu, na tumekombolewa kwa Damu ya thamani sana!
Siku ukiwaudhi marekani ndo utajua kuwa wale ndo mungu mwenyewe. Africa hatuna maisha bila wao sisi tumejazanisha mitume na manabii tu wa kututisha kuwa kiyama chaja
 
Jamaa amepoteza Zaid ya trion 13 , na ameshuka nafas moja ya utajir duniani , hata hvyo ilikuwa planned ....!! Kuna mchongo ulikuwa unawekwa Sawa, Tiktok ni ya vijana wasiojielewa huwez linganisha value yake na watsap, Instagram na Facebook
 
Usipotoshe tafadhari!!

Hivi unajua mpunga aliopoteza Mark kwa masaa ty ya jana?, Then how comes useme eti wanataka kutuonyesha jinsi gani tunawategemea!! Kuwa serious mkuu.

Hao ni hackers, na imemuumiza balaa acha kabisa kuleta masihara kwa tajiri huyo [emoji1787]
 
tafakari

FA6HfjuXEAQRFpQ.jpg
 
Angalia mjinga mkubwa wewe, bila Insta huwezi kuishi? Haya tukirudi kutuma barua posta tunaweza kuishi
 
Halafu bado tuna ubavu wankusema mabeberu wanatuonea wivu, hii nchi ngumu sana
Ni matter of perception tu.

Tajiri anapesa nyingi lakini anataka amzulumu kiwanja maskini.

Mwanadamu hajawahi kuridhika.

Sio tu wanatuonea wivu lakini wanatuogopa,

Ndio maana wanaka ku-take total control of our life.
 
Back
Top Bottom