Hii ni proof kuwa bila Marekani maisha hayawezekani

Mkuu, ebu rekebisha hapo kwenye 'Wameshikilia Maisha yetu', weka 'Wameshikilia Maisha yangu'.

Sie wengine Maisha yetu yapo Mikononi mwa Mungu, na tumekombolewa kwa Damu ya thamani sana!
kwani mungu anatoa damu.. ?huyo mungu au kuku
 
Siku ukiwaudhi marekani ndo utajua kuwa wale ndo mungu mwenyewe. Africa hatuna maisha bila wao sisi tumejazanisha mitume na manabii tu wa kututisha kuwa kiyama chaja
Kwani hizi social media baba yako kijijini alizitumia? Au tufanye wewe bado mtoto tumuulizie babu yako alijua kuwa zimezimika?
 
Hivyo unakubali kwamba suala la kumtangaza mtu kuwa gaidi au kumsafisha linategemea na maslahi binafsi ya hao wahusika?
Ndiyo nakubali, maana anaye muona mtu fulani ni Gaidi na yule anaye shukiwa Gaidi wana malengo tofauti.
Ndiyo maana hata ukisha shinda kesi, haijarishi vipi, bado wewe ni Gaidi kwenye macho ya huyo aliye kushutumu!
 
Mjadala umeisha
 
Mkuu, ebu rekebisha hapo kwenye 'Wameshikilia Maisha yetu', weka 'Wameshikilia Maisha yangu'.

Sie wengine Maisha yetu yapo Mikononi mwa Mungu, na tumekombolewa kwa Damu ya thamani sana!
Mabeberu wamefanikiwa kwa kiasi fulani kuturithisha Mila zao, kabla ya ujio wa hao mabeberu babu zako walikuwa wanaabudu nin ww poyoyo ?
 
Mkuu, ebu rekebisha hapo kwenye 'Wameshikilia Maisha yetu', weka 'Wameshikilia Maisha yangu'.

Sie wengine Maisha yetu yapo Mikononi mwa Mungu, na tumekombolewa kwa Damu ya thamani sana!
Huyo mungu mwenyewe unayemuabudu kaletwa na wao
 
Kwani mlikufa mbona bado life inaendelea? binadamu tunahitaji ardhi na maji tuu ili maisha yaendelee, poteza hivyo vitu viwili ndio utajua nini muhimu katika maisha yako
 
Mkuu, ebu rekebisha hapo kwenye 'Wameshikilia Maisha yetu', weka 'Wameshikilia Maisha yangu'.

Sie wengine Maisha yetu yapo Mikononi mwa Mungu, na tumekombolewa kwa Damu ya thamani sana!
Tena maisha yako.
Endelea kufanya marekebisho mkuu
 
Sasa shida iko wapi!?? Kama wewe ungekuwa mwandishi, ungeandika kwa kutumia nafsi ya kwanza umoja!?
Kama mimi ningeandika

Si kwamba 'Wameshikilia Maisha yetu', ningeweka 'Wameshikilia Maisha yako' ili imuendee mleta mada
 
Nimekuuliza, wewe kama ungekuwa mleta mada, ungeandikaje kwa kutumia kauli ya kwanza umoja!?
 
Kwani mimi nime nukuu mada?
Mimi nimenukuu comment ya aliye pinga kauli ya mleta mada
Tofauti yangu na yako ni kwamba:
Wewe unataka mimi niandike kauli ya kumjibu mleta mada kwa kuandika neno 'Yake'

Mimi sijamjibu, bali nimemrekebishwa kwa kumtaka aandike neno 'Yangu' (Nafsi ya kwanza umoja kwa upande wa mwandishi)
 
Back
Top Bottom