Kila mtu ameelewa kivyake lakini maana ni moja.Tofauti yangu na yako ni kwamba:
Wewe unataka mimi niandike kauli ya kumjibu mleta mada kwa kuandika neno 'Yake'
Mimi sijamjibu, bali nimemrekebishwa kwa kumtaka aandike neno 'Yangu' (Nafsi ya kwanza umoja kwa upande wa mwandishi)
Mkuu, ebu rekebisha hapo kwenye 'Wameshikilia Maisha yetu', weka 'Wameshikilia Maisha yangu'.
Sie wengine Maisha yetu yapo Mikononi mwa Mungu, na tumekombolewa kwa Damu ya thamani sana!
Siku ukiwaudhi marekani ndo utajua kuwa wale ndo mungu mwenyewe. Africa hatuna maisha bila wao sisi tumejazanisha mitume na manabii tu wa kututisha kuwa kiyama chaj
Angalia mjinga mkubwa wewe,bila Insta huwezi kuishi? Haya tukirudi kutuma barua posta tunaweza kuishi
Mkuu, ebu rekebisha hapo kwenye 'Wameshikilia Maisha yetu', weka 'Wameshikilia Maisha yangu'.
Sie wengine Maisha yetu yapo Mikononi mwa Mungu, na tumekombolewa kwa Damu ya thamani sana!
Tutazidi kutawaliwaMugabe aliwanyanganya wazungu ardhi
Ili apate political milage tu
Alipo wanyanganya nn kilitokea
Zimbabwe si ndiyo akaiuaaaa
Ova
Sana! Mandela alikuwa kibaraka tu pamoja na mwenzake nyerereTutazidi kutawaliwa
Yawezekana Sankara, haille selasie, gadaffi may be nkrumah Ila Hawa wengine Hawa sijui nyerere, Kenneth kaunda, khama na wengine walikuwa vibaraka tu wa wazungu + kenyataMugabe alipigania vita ya uhuru wa Zimbawe, alipigana na akashinda lakini uhuru huo haukugusia ardhi, ardhi ilibaki kuwa mali ya wazungu waliotuvamia hapa afrika bila visa wala passport.
Baada ya uhuru, alifatwa na wenzake waliomuunga juhudi kwenye kupigana vita ya uhuru wakamwambia kulikua na haja ipi ya kupigania uhuru kama ardhi inabaki kwa watu ambao waliwapora?
Kipindi hiki chote kabla hajaanza harakati za kuirudisha ardi kwa waafrika, wazungu walikuwa wakimpenda sana Mugabe kwasababu hakuwangilia kwenye umiliki wa ardhi waliyoipora.
Wazungu waligeuka mbogo na kuwa adui wa Mugabe pale walipoona Mugabe karudi upande wa kuwatetea wenzake wapate ardhi yao, hapo ndipo Marekani na Uingereza wakaanza kumwekea Mugabe vikwazo vingi sana na kumfanya aonekane mbaya.
Kwa upande wa Afrika Kusini mpaka leo wazungu wanamuenzi Mandela kwasababu Mandela aliwaruhusu kuendelea kumilki ardhi na Migodi, Karibu ailia 80 ya ardhi inamilikiwa na makaburu Afika kusini na Mandela aliruhusu hivi ndio maana wazungu walimsifia sana na kudanganya ulimwengu kwamba Mandela ndiekiongozi bora kuwahi kutokea Afrika.
Hivi wale wazungu tungewaacha waendelee kututawala si ingekuwa Sawa tu.Maana hata hayo tunayoita mafanikio baada ya Uhuru ni mikopo kutoka kwao.Mugabe aliwanyanganya wazungu ardhi
Ili apate political milage tu
Alipo wanyanganya nn kilitokea
Zimbabwe si ndiyo akaiuaaaa
Ova
tik tok ni ya akina nani? wachina? Simu Infinix ni ya akina nani? wachina? Android ni ya kin nani? tafakari tenaHata tiktok ni mabeberu wale wale. Hivi africa tunajivunia nini zaidi ya maelfu ya manabii na mitume wa kutishana tu ujihisi kuwa unakufa siku hiyohiyo
Fafa uatik tok ni ya akina nani? wachina? Simu Infinix ni ya akina nani? wachina? Android ni ya kin nani? tafakari tena