Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

Dah umenikumbusha
kuna kipindi kwenye utafutaji wangu nilikuwa nasukuma mkokoten wa vinywaji nikamwona dem mmoja rika langu
Pole sana mwamba, hiyo ilikuwa ni changamoto kwa wewe kutafuta pesa zaidi. Siku kama ya leo kwenye ukoo wao, kila mmoja unampa Toyota Land Cruiser V8 VX model ya 2O23 wakome.

Halafu hutangazi ndoa, unasepa
 
Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.

Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana.

Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa ajili ya mlo wa usiku. Yeye ni mfanyabiashara mkubwa, ana viwanda vyake vya vipodozi na anauza sehemu mbalimbali duniani.

Alinunua nyumba Oysterbay iliyokuwa ya mheshimiwa mmoja mstaafu (zile nyumba waliuziwa kwa bei chee na Mkapa) akaivunja yote na akajenga nyumba za ndoto yake.

Anacholalamika ni kwamba wanaume wanamuogopa kwa ajili ya pesa zake. Hata akomtongoza mwanaume baada ya muda kidogo mwanaume atapotea.

Akaenda mbali zaidi, akasema wanawake wengi matajiri wamejikuta wakiingia kwenye mapenzi ya jinsia moja lesbianism kwa kukosa watu wa kuwa nao.

Tuliongea mengi sana kwa kweli. Wito wangu kwenu vijana, msiogope ma Range Rover yao, watongozeni tu, nao pia ni watu na wanahitaji wenzi wa kuwa nao maishani.
Ni pm namba zake
 
Wewe umemroga Kwa mapenzi yeye atakuroga Kwa waganga🤣🤣 Sasa dawa apo ni kukoleza mahaba mpaka achanganyikiwe asahau kukuroga
Kadiri unavyo mkoleza ndivyo anavyotamani akakuroge ili uwe wake peke yake. Tayari tafiti zinasema mwaume mmoja ana wanawake tisa Dar
 
Back
Top Bottom