Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.

Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana.

Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa ajili ya mlo wa usiku. Yeye ni mfanyabiashara mkubwa, ana viwanda vyake vya vipodozi na anauza sehemu mbalimbali duniani.

Alinunua nyumba Oysterbay iliyokuwa ya mheshimiwa mmoja mstaafu (zile nyumba waliuziwa kwa bei chee na Mkapa) akaivunja yote na akajenga nyumba za ndoto yake.

Anacholalamika ni kwamba wanaume wanamuogopa kwa ajili ya pesa zake. Hata akomtongoza mwanaume baada ya muda kidogo mwanaume atapotea.

Akaenda mbali zaidi, akasema wanawake wengi matajiri wamejikuta wakiingia kwenye mapenzi ya jinsia moja lesbianism kwa kukosa watu wa kuwa nao.

Tuliongea mengi sana kwa kweli. Wito wangu kwenu vijana, msiogope ma Range Rover yao, watongozeni tu, nao pia ni watu na wanahitaji wenzi wa kuwa nao maishani.
Wewe unasubiri nini kumsaidia ktk huo upweke?
 
Kama mke kanunua kapika wewe mario umekula hapo pesa wewe inakua haikuhusu ni pesa ya mkeo ambayo utanyanyasika na kudharaulika nayo...tafta pesa yako ule pesa yako kipi kigumu hapo
Analipia nguvu zake kwani katoa bure
 
Analipia nguvu zake kwani katoa bure
Zipi sasa? Kwani mwanamke yeye hatoi nguvu? Kwa heshima yangu sitakujibu tena maana hujui huelewi huoni...muulize Adamu akwambie alivyokula cha kupewa na mwanamke nini kilimkuta mazafanta
 
Kusaza ndio tatizo ukila tu sio shida
 
Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.

Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana.

Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa ajili ya mlo wa usiku. Yeye ni mfanyabiashara mkubwa, ana viwanda vyake vya vipodozi na anauza sehemu mbalimbali duniani.

Alinunua nyumba Oysterbay iliyokuwa ya mheshimiwa mmoja mstaafu (zile nyumba waliuziwa kwa bei chee na Mkapa) akaivunja yote na akajenga nyumba za ndoto yake.

Anacholalamika ni kwamba wanaume wanamuogopa kwa ajili ya pesa zake. Hata akomtongoza mwanaume baada ya muda kidogo mwanaume atapotea.

Akaenda mbali zaidi, akasema wanawake wengi matajiri wamejikuta wakiingia kwenye mapenzi ya jinsia moja lesbianism kwa kukosa watu wa kuwa nao.

Tuliongea mengi sana kwa kweli. Wito wangu kwenu vijana, msiogope ma Range Rover yao, watongozeni tu, nao pia ni watu na wanahitaji wenzi wa kuwa nao maishani.
Hii kitu sijakutana nayo nadhani shida wanakutana na wanaume ambao tayari wanajiweza na hawana mpango nao, hawa wadada au wanawake wa hivi wana vigezo vyao hasa vya kibinadam au kishetani ndio hujikuta mikononi mwa wajanja wenye options kibao.

Kusagwa wanapenda wao na wengine washaanza kusagwa kitambo na hio mipombe yao na ladies parties, wengine wakitoka na mashosti usiku anajikuta anapewa utamu kuja kugundua ni rafiki yake ndio anampa utamu kustuka anaeambiwa kula raha acha ujinga kuna magonjwa nje huko acha tujipe raha ndio imeisha hio.
 
Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.

Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana.

Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa ajili ya mlo wa usiku. Yeye ni mfanyabiashara mkubwa, ana viwanda vyake vya vipodozi na anauza sehemu mbalimbali duniani.

Alinunua nyumba Oysterbay iliyokuwa ya mheshimiwa mmoja mstaafu (zile nyumba waliuziwa kwa bei chee na Mkapa) akaivunja yote na akajenga nyumba za ndoto yake.

Anacholalamika ni kwamba wanaume wanamuogopa kwa ajili ya pesa zake. Hata akomtongoza mwanaume baada ya muda kidogo mwanaume atapotea.

Akaenda mbali zaidi, akasema wanawake wengi matajiri wamejikuta wakiingia kwenye mapenzi ya jinsia moja lesbianism kwa kukosa watu wa kuwa nao.

Tuliongea mengi sana kwa kweli. Wito wangu kwenu vijana, msiogope ma Range Rover yao, watongozeni tu, nao pia ni watu na wanahitaji wenzi wa kuwa nao maishani.
Inategemea na anao kutana nao unless yeye ni tatizo kwa kuwa ana uhuru wa kifedha
 
Sio kwa dunia ya leo iloyojaa marioo wanaopenda kitonga labda. Uyo sisteri ajifanyie tathmini anakwama wapi, labda mnyanyasaji.
Aje wavuvi camp atatukuta tumepack Alteeza zetu na Subaru zenye rangi rangi
 
Tatizo ni kwamba mwanamke ni kiumbe cha aina yake.
Hakuna mwanaume atavumilia mdomo mchafu.
99% ya Wanawake wakipata pesa wanawehuka, wanajionaga wako tofauti na Wanawake wa kijijini kwao alikokulia.
Usijeshangaa anafunga safari ya kwenda kwao anabeba na maji ya kunywa.
Wengine huwaona wanaume walioanza nao maisha sio hadhi yao, ni wachafu
 
Kuna mbunge mmoja wa kike alipoingia bungeni tu akamuacha mume wake akamfukuza kwenye nyumba baadae demu akalamba uwaziri yupo bungeni bado ila mume aliyempambania mpaka akaingia bun kamuacha ali sacrifice kila kitu kwa ajili ya mke wake ila akaambulia kigari kibovu tu hawa wanawake hawa.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Duh aisee.
Ila kama ana watoto nae au mtoto apige kimya tuu walaa asimfuatilie bali aamini alifanya hivyo kwa ajili ya watoto.
Na kamwe asimuulize maana karma iz bich. Atajibiwa tuu kabla ya ulimwengu kisha.
 
Kuna mbunge mmoja wa kike alipoingia bungeni tu akamuacha mume wake akamfukuza kwenye nyumba baadae demu akalamba uwaziri yupo bungeni bado ila mume aliyempambania mpaka akaingia bun kamuacha ali sacrifice kila kitu kwa ajili ya mke wake ila akaambulia kigari kibovu tu hawa wanawake hawa.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Mwanamke hana stamina ya kuimili nyakati zake za mafanikio akiwa na busara
 
Back
Top Bottom