ndiooHaaahahaa kwani wee Muraaaa
Duh!Ney wangu hana mbadala [emoji379]
Huruhusiwi hata kuwaza hivo
Hakimu mimi tafuta karani... nyundo nitaipiga mimi.Acha nitafute Hakimu wakuisimamia.....
kila la kheri chief....haya bhana shukrani... ngoja nami hao uliowaacha niangaze macho hapo hapo.
Basi hakuna kesi hapo....na hiyo Nyundo haitahusika.Hakimu mimi tafuta karani... nyundo nitaipiga mimi.
Braza nimestukaDuh!
nami nitakutenda kama ulivyokiri.... na nami nitakusaidia kutumikia kifungo.Basi hakuna kesi hapo....na hiyo Nyundo haitahusika.
Nimekubali kosa...nasubiri Hukumu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu taja mbadala wake hapaVita unayotaka kuianzisha mkuu sijui kama utaweza kuizima.
Mimi nakuangalia tu!
nami nitakutenda kama ulivyokiri.... na nami nitakusaidia kutumikia kifungo.
hukumu yako: utaambatana nami nami nitaambatana nawe hadi mmoja atakapovutwa na mwenye enzi.
haha... haya bhana siku njema.Jamani Jamani hukumu gani hiii ya Hakimu kujipendelea hivyo?
Umenifuraisha, leo sikutegemea kucheka hata.
Shukrani, na kwako pia.haha... haya bhana siku njema.
seere...
[emoji23][emoji23][emoji23] umestuka nn ss braza!!!Braza nimestuka
Nikiwa sipo usiende nyumbani au mwende na mumu
Duh! wee mzee...nami nitakutenda kama ulivyokiri.... na nami nitakusaidia kutumikia kifungo.
hukumu yako: utaambatana nami nami nitaambatana nawe hadi mmoja atakapovutwa na mwenye enzi.
[emoji19][emoji19][emoji19]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu taja mbadala wake hapa
jiandae tunakula pilau la sherehe.... shemeji yako mtarajiwa huyo.Duh! wee mzee...
sawa mm nipo tayari kusheherekea kabisa, ila jinsi ulivyomtongoza shemeji nimependa sana....huyo anastahili sherehe hasajiandae tunakula pilau la sherehe.... shemeji yako mtarajiwa huyo.
Nimestuka ume mueka na Ney[emoji23][emoji23][emoji23] umestuka nn ss braza!!!