Hii ni special kwa zile couple za JF

Hii ni special kwa zile couple za JF

nami nitakutenda kama ulivyokiri.... na nami nitakusaidia kutumikia kifungo.

hukumu yako: utaambatana nami nami nitaambatana nawe hadi mmoja atakapovutwa na mwenye enzi.

Jamani Jamani hukumu gani hiii ya Hakimu kujipendelea hivyo?
Umenifuraisha, leo sikutegemea kucheka hata.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu taja mbadala wake hapa

Toka niingie humu ndani, kuna wanawake kama 11 sijui nani anafit wapi au wapi. Ila wamekuwa ni sababu ya mimi ku-interact humu ndani na kuizoea hasa MMU.

With no particular order:-
  1. Evelyn Salt
  2. Mzigua90
  3. Inna
  4. Mambembe
  5. Amu
  6. Mama Sabrina
  7. Cikey
  8. Shunie
  9. Raynavero
  10. Lynne
  11. Culture Gal
These women mean a lot to me, as friends. Sina ninayemchagua zaidi ya mwenzake, ila nina uhakika ningekuwa sijachagua huku nje nikatakiwa nichague kati ya hao ningepata wakati mgumu sana.

Wakati mwingine huwa nikiwaza hivyo namwelewa King Mswati.
 
Back
Top Bottom