1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
okhahaha hamna aisee, chitchat tu hapa [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okhahaha hamna aisee, chitchat tu hapa [emoji3][emoji3]
ngatele!!! uti umewahiwa kitambo sana, we mwana ugwe[emoji17][emoji17]....haya,Nini tena nkamu?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji5][emoji846]Toka niingie humu ndani, kuna wanawake kama 11 sijui nani anafit wapi au wapi. Ila wamekuwa ni sababu ya mimi ku-interact humu ndani na kuizoea hasa MMU.
With no particular order:-
These women mean a lot to me, as friends. Sina ninayemchagua zaidi ya mwenzake, ila nina uhakika ningekuwa sijachagua huku nje nikatakiwa nichague kati ya hao ningepata wakati mgumu sana.
- Evelyn Salt
- Mzigua90
- Inna
- Mambembe
- Amu
- Mama Sabrina
- Cikey
- Shunie
- Raynavero
- Lynne
- Culture Gal
Wakati mwingine huwa nikiwaza hivyo namwelewa King Mswati.
Jamaniii, si ndo vizuri au? Wish me wellngatele!!! uti umewahiwa kitambo sana, we mwana ugwe[emoji17][emoji17]....haya,
acha tu uwe nkamu gwangu....
vizuri kwako, kwangu hapana...anyway, all the best nkamu...[emoji5][emoji17][emoji5][emoji18][emoji4][emoji5][emoji24][emoji17]Jamaniii, si ndo vizuri au? Wish me well
Muache aende akaipate hukohahaha
atakuja kukulaumu sana baadaeMuache aende akaipate huko
Mpenzi wangu wala usiwaze sana huyu José ni mkorofi sana ujue, alafu kuna watu wanapenda tugombane sijui kwasababu tunapendana sanaMylove huyo jamaa anatafuta vurugu nsha mwambia atulie. Na wewe usiruhusu akuite ivo.
Mjue leo ni jumapili nna mood nzuri spendi fujo
Unaenda wapi mylove?Badam batamwagika kwanza nshavurugwa ngoja ntoke kidogo
Toka niingie humu ndani, kuna wanawake kama 11 sijui nani anafit wapi au wapi. Ila wamekuwa ni sababu ya mimi ku-interact humu ndani na kuizoea hasa MMU.
With no particular order:-
These women mean a lot to me, as friends. Sina ninayemchagua zaidi ya mwenzake, ila nina uhakika ningekuwa sijachagua huku nje nikatakiwa nichague kati ya hao ningepata wakati mgumu sana.
- Evelyn Salt
- Mzigua90
- Inna
- Mambembe
- Amu
- Mama Sabrina
- Cikey
- Shunie
- Raynavero
- Lynne
- Culture Gal
Wakati mwingine huwa nikiwaza hivyo namwelewa King Mswati.
Sawa mylove ila usi entertine ukororfi wake mtanipa BPMpenzi wangu wala usiwaze sana huyu José ni mkorofi sana ujue, alafu kuna watu wanapenda tugombane sijui kwasababu tunapendana sana
Ila tusiwape nafasi kabisa sisi tujifanye hatuoni uchokozi wao.
Hata mimi jpili ya leo nipo na nyimbo za mapambio tuu nyimbo za parapanda sitaki kuziskia muda huu
Am fine babyUnaenda wapi mylove?
Embu jitahidi kumpuuzia huyu José tusije tukashindwa kufurahia penzi letu [emoji26]
Okey honey, nimefurah umecheka kidogoSawa mylove ila usi entertine ukororfi wake mtanipa BP
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti nyimbo za parapanda, you funny!!
Love you so much babyAm fine baby
Love you
Huku mambo nimakubwaAiseee
Huu uzi ulikua wapi??? .Zipo nyingi sana
Mshana jr vs demiss
Mahandow vs smart
Yna4 vs vlad
Shunie vs asiejulikana
Sakayo vs asprin[emoji23]
Wote hao taja mmoja1.Heaven Sent
2.Mzigua90
3.Sakayo
4.Neybright
5.Sky Eclat