Hii ni special kwa zile couple za JF

Hii ni special kwa zile couple za JF

Toka niingie humu ndani, kuna wanawake kama 11 sijui nani anafit wapi au wapi. Ila wamekuwa ni sababu ya mimi ku-interact humu ndani na kuizoea hasa MMU.

With no particular order:-
  1. Evelyn Salt
  2. Mzigua90
  3. Inna
  4. Mambembe
  5. Amu
  6. Mama Sabrina
  7. Cikey
  8. Shunie
  9. Raynavero
  10. Lynne
  11. Culture Gal
These women mean a lot to me, as friends. Sina ninayemchagua zaidi ya mwenzake, ila nina uhakika ningekuwa sijachagua huku nje nikatakiwa nichague kati ya hao ningepata wakati mgumu sana.

Wakati mwingine huwa nikiwaza hivyo namwelewa King Mswati.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji5][emoji846]
 
Mylove huyo jamaa anatafuta vurugu nsha mwambia atulie. Na wewe usiruhusu akuite ivo.
Mjue leo ni jumapili nna mood nzuri spendi fujo
Mpenzi wangu wala usiwaze sana huyu José ni mkorofi sana ujue, alafu kuna watu wanapenda tugombane sijui kwasababu tunapendana sana
Ila tusiwape nafasi kabisa sisi tujifanye hatuoni uchokozi wao.

Hata mimi jpili ya leo nipo na nyimbo za mapambio tuu nyimbo za parapanda sitaki kuziskia muda huu
 
Toka niingie humu ndani, kuna wanawake kama 11 sijui nani anafit wapi au wapi. Ila wamekuwa ni sababu ya mimi ku-interact humu ndani na kuizoea hasa MMU.

With no particular order:-
  1. Evelyn Salt
  2. Mzigua90
  3. Inna
  4. Mambembe
  5. Amu
  6. Mama Sabrina
  7. Cikey
  8. Shunie
  9. Raynavero
  10. Lynne
  11. Culture Gal
These women mean a lot to me, as friends. Sina ninayemchagua zaidi ya mwenzake, ila nina uhakika ningekuwa sijachagua huku nje nikatakiwa nichague kati ya hao ningepata wakati mgumu sana.

Wakati mwingine huwa nikiwaza hivyo namwelewa King Mswati.

Aaaaaaaawwwww i love u ....and u knw it.!!
 
Mpenzi wangu wala usiwaze sana huyu José ni mkorofi sana ujue, alafu kuna watu wanapenda tugombane sijui kwasababu tunapendana sana
Ila tusiwape nafasi kabisa sisi tujifanye hatuoni uchokozi wao.

Hata mimi jpili ya leo nipo na nyimbo za mapambio tuu nyimbo za parapanda sitaki kuziskia muda huu
Sawa mylove ila usi entertine ukororfi wake mtanipa BP

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti nyimbo za parapanda, you funny!!
 
Back
Top Bottom