ryan riz
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 423
- 683
tabia sio ya kiungwana ni ya kishenzi sana..unakuta makazi ya watu fulani wanamiaka zaidi saba na zaidi hawana huduma ya maji wala umeme.
Ila unakuta huduma hii haiko mbali na makazi yao ni kama mita 2000 tu,unawaomba kwamba jamani wenye shida ni sisi tuisitegemee sana hawa watu wa serikali..tuchange fedha hata kidogo kidogo tulete hii huduma majumbani kwetu...
Unajitolea unamleta saveya anakwambia hapa panahitaji nguzo 15 ila nyie changieni kiasi hiki na sisi tutachangia hivi..unawaambia majirani wote wanapiga kimya mchango na huku wanalalamika kwanini hawapatiwi hiyo huduma kwa miaka yote...wengine wanakwambia labda kuasi flan kuchanga ni kubwa mno ila huyo huyo kwa wiki analalamika ananunua maji ya elfu 40000...!! Piga hesabu mara miaka yote aliyokaa?
Kwenye umeme hivyo hivyo mabingwa wakuongea kwenye kuchanga wamelala mbele...na sio km hawana huo uwezo..
Tumejikuta tumechanga wawili tu kila mmoja katoa zaidi ya tsh 3.5m ili kupata huduma ya maji na umeme ,ila km makazi ya majiran tungechanga wote basi kila kaya ingetoa laki 1 tu.....
Walivyo washenzi baada ya huduma kuletwa wao ndio wa kwanza kujaza fomu na pongezi za kinafki kwamba wazee mmepambana sana...
Nb: watu wa uswahili na vijijini wanaumoja sana kwenye michango ya kijamii hilo halina ubishi...ila hizi sehemu mnazosema zina wasomi upumbavu ni mwingi sana mixer ujuaji na ubinafsi