Hii ni Tabia ya Kiswahili ni ya hovyo na inakera sana

Hiyo namba moja unaniudhi sana, unakuta mtu anapiga simu hupokei anaendelea kupiga tuuuuuuu...hata mara ishirini! Ukipiga simu mara moja au mbili na haipokelewi, chili..uliyempigia ataiona, atakupigia au andika text message..damn
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu huyo anakuwa amekumiss anataka kuwa karibu na wewe. Mwambie njoo kesho tuonane....
 
Kuna ile mtu ana namba 2 kwenye simu yake wew umemtext mfano kwenye voda halaf yeye anajibu na namba ya airtel ambayo huijui na wala hajitambulishi kam mm ni flan huko inakera sana
Mkuu me binafsi ili kuepusha hili nina mbinu moja.

Kwa kuwa napenda sana txt rather than calls so kwa kila sms nayotuma nimeweka signature chini kiasi kwamba hata nikibadili number mtu hachelewi kujua huyu ni Caps Lock
 
Hiyo namba moja unaniudhi sana, unakuta mtu anapiga simu hupokei anaendelea kupiga tuuuuuuu...hata mara ishirini! Ukipiga simu mara moja au mbili na haipokelewi, chili..uliyempigia ataiona, atakupigia au andika text message..damn
Ha ha ha ha ha ha
 
kwa hiyo mzee hutaki kusalimiwa
 
Kuna demu alikua anatuma watu halafu asemi, ukimuuliza kimya mpaka nikachoka alikua sijui anania gani? Sasa nikawa namtafuta namwambia nakusalimia Basi anakuchokoza umpigie simu kila Mara anahisi sijui Nini?
 
Mimi ukinipigia simu hua napokea kama mtangazaji wa redio

Hello kwenye line, nani mwenzangu na unapiga simu kutoka wapi.

Akishajibu hapo juu namrudia tena

Ehee karibu boss. (aeleze shida yake) akianza kuongea utopolo na kupoteza muda nakata simu .
Nilikua na mtindo wa kuwauliza watu hivyo hahaha- sasa wao hawapendi ninavyowauliza ninazungumza na nani, eti wanataka nijue nazungumza na mtu fulani wakati sina namba zao na sauti zao sizijui.
 
Hiyo namba 5 inaendana na ile mtu anakupigia na kukwambia MBONA SIKU HIZI HUNIPOGII SIMU KUNISALIMIA AU NDIO UMENISAHAU KABISA.

Ushamba
Huu ni ubwege kweli, sasa anataka umwambie ndio nimekusahau ili aanze kukulamikia

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna ile mtu anakupigia simu alafu bado anaongea na watu wengine tena

Si umalize shughuli zako kisha ndo upige simu
Hiki kitu huwa kinakera sana, yani anaona kabisa simu imeshapokelewa ila anaendelea kwanza na maongezi yake halafu ndio anarudi, hello Jimena, mambo vipi?? [emoji30][emoji30]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Na Kuna wale wanaopiga video call mtu Huna no ake wala hujui kama unamfaham au la kisa tu kapata no yako basi ni video call tu ,binafsi sipendi hata kama tumezoeana niambie Kwanza kama naweza pokea au la nakerekwa sana na wenye tabia hizo wengi ni hawa MY wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…