Hii ni Tabia ya Kiswahili ni ya hovyo na inakera sana

Kero nyingine hizi hapa

 
Huwa nachukia Sana simu za jumamosi na Ijumapili asubuhi.

Jumamosi ndio siku yangu ya mapumziko halafu mtu anakupigia analeta mambo yake.

Au anakupigia simu ijumapili, ukiwa Ibadani, simu inaita tu.

Ilimradi wakusumbue tu. Na simu kuzima huwezi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kupanga ni kuchagua chief. Kama priority ni kumkojoza binti, jogging isubiri next weekend. [emoji41][emoji41]
Itabidi kesho hadi alhamisi nifanye ile kitu inaitwa over dozi

Ili ijumaa napumzika alafu usiku nifanye tukio la uumbaji
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huduma ya tafadhari nipigie imewekwa kwa ajili ya shida ya dharula/maalum pale mtu anapo kuwa hana salio la kutosha kwenye simu yake ili aweze kupigiwa

Lakini jambo la kushangaza ni pale watu wanapo tuma ujumbe wa tafadhari nipigie wakiwa na malengo ya kupiga stori au kujulia hali. Mf. Mtu anakutumia tafadhari nipigie, ukimpigia anakuwa hana cha maana anaishia kukwambia "nilitaka kukupa hai tu" au unampigia kwakuwa hana sababu maalum ya kukueleza anaanza kukuuliza habari za "shemu wangu anasemaje" au "mna tuzidi nini huko" mbona kimya sana". It is boring indeed

Kama huna tatizo la dharula au sababu maalum kutuma ujumbe wa tafadhari nipigie ni upuuzi. Tubadilike
 
Kuna demu alikua anatuma watu halafu asemi, ukimuuliza kimya mpaka nikachoka alikua sijui anania gani? Sasa nikawa namtafuta namwambia nakusalimia Basi anakuchokoza umpigie simu kila Mara anahisi sijui Nini?
nimerudia kusoma mara4 ila sijaelewa
 
Kuna saa swaga zinaisha na unataka bado kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…