Hii ni Tabia ya Kiswahili ni ya hovyo na inakera sana

Hii ni Tabia ya Kiswahili ni ya hovyo na inakera sana

Na Kuna wale wanaopiga video call mtu Huna no ake wala hujui kama unamfaham au la kisa tu kapata no yako basi ni video call tu ,binafsi sipendi hata kama tumezoeana niambie Kwanza kama naweza pokea au la nakerekwa sana na wenye tabia hizo wengi ni hawa MY wangu
Daahh hii inakera for sure
 
Kumekuwa na matumizi mabaya ya kukera ya simu.

1. Mtu anakupigia simu hujapokea anaendelea kupiga tena na tena. Ukija mpigia baadaye unamuuliza shida nini anakwambia alikuwa anakusalimia tu. Ukiona umepiga simu mara moja mtu hajapokea acha usumbufu. Tulia akiwa Ok atakupigia.

2. Mtu hakudai wala nini anakupigia hupokei anaenda tafuta namba mpya kuendelea kukupigia. Hana jambo la maana anataka mpige stories. Hii tabia ya kukera.

3. Saa nne usiku mtu anakupigia simu mpige stories. Why? Usiku ni muda wa kupumzika wadau heshimu mapumziko ya mwenzio.

4. Mtu anakupigia unamsalimia anakujibu. Then anakwambia "Niambie" inashangaza sana.wewe umenipigia then unataka mimi ndo nikwambie. Nikwambie nini? Ingekuwa na kukwambia ningekupigia.

5. Mtu anakupigia simu kwa namba ngeni unamuuliza nani mwenzangu. Anakwambia ina maana sauti yangu huhifahamu/umeisahau? Huu ni upumbavu, mi sina jukumu la kukariri sauti yako.

6. Kuna wale toka wafahamu whatsapp video call imekuwa nongwa.ikitokea tu kakuona online haraka video call. Huu si ustaarabu. Watu wanataka privacy. Omba kwanza kama its possible kupiga upate kibali.

7. Tabia ya kupiga simu halafu unalalamika. Mbona umekaa muda mrefu hujanipigia simu.ni upuuzi.kama sijakupigia simu ni kwamba sikuwa na cha kukwambia. Kama unacho piga ongea.siyo kuambiana nipe story...

Tutumie simu ipasavyo kama huna cha kuongea na mtu tulia tu. Au salimia kifupi tu basi. Watu tuna mambo mengi kichwani siyo kuleteana habari sizizo na kichwa wala miguu.
Tafuta hela ndugu achana na walimwengu
 
Huwa sina mda wa kujishughulisha kwa phone na venye nothing,
Cm ambazo swez acha pokea, n wazaz wangu na ndugu ang wa tumbo 1, hawa wengine hawanisumbui.
Tena no ngeni ndo kabisaaah wala hata mshipa haustuki.
 
No 4 ua naamin maajabu kamwe hayawezi kuisha duniani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mambo yanaendaje Lakini my wangu?? [emoji28][emoji28][emoji28] usiku unauonaje?
Anarudia tena " nipe mpya love" unajiuliza hivi huyu second generation yake itakuwaje?
 
Kuna ujinga mmoja huwa sipendagi kweli na unakera sana unampigia mtu munaongea hata hamjamaliza kuna cm inaingia upande wake anapokea ile anakuacha weye bila hata kukuomba yaani dah .
 
Kumekuwa na matumizi mabaya ya kukera ya simu.

1. Mtu anakupigia simu hujapokea anaendelea kupiga tena na tena. Ukija mpigia baadaye unamuuliza shida nini anakwambia alikuwa anakusalimia tu. Ukiona umepiga simu mara moja mtu hajapokea acha usumbufu. Tulia akiwa Ok atakupigia.

2. Mtu hakudai wala nini anakupigia hupokei anaenda tafuta namba mpya kuendelea kukupigia. Hana jambo la maana anataka mpige stories. Hii tabia ya kukera.

3. Saa nne usiku mtu anakupigia simu mpige stories. Why? Usiku ni muda wa kupumzika wadau heshimu mapumziko ya mwenzio.

4. Mtu anakupigia unamsalimia anakujibu. Then anakwambia "Niambie" inashangaza sana.wewe umenipigia then unataka mimi ndo nikwambie. Nikwambie nini? Ingekuwa na kukwambia ningekupigia.

5. Mtu anakupigia simu kwa namba ngeni unamuuliza nani mwenzangu. Anakwambia ina maana sauti yangu huifahamu/umeisahau? Huu ni upumbavu, mimi sina jukumu la kukariri sauti yako.

6. Kuna wale toka wafahamu whatsapp video call imekuwa nongwa. Ikitokea tu kakuona online haraka video call. Huu si ustaarabu. Watu wanataka privacy. Omba kwanza kama its possible kupiga upate kibali.

7. Tabia ya kupiga simu halafu unalalamika. Mbona umekaa muda mrefu hujanipigia simu ni upuuzi kama sijakupigia simu ni kwamba sikuwa na cha kukwambia. Kama unacho piga ongea siyo kuambiana nipe story...

Tutumie simu ipasavyo kama huna cha kuongea na mtu tulia tu. Au salimia kifupi tu basi. Watu tuna mambo mengi kichwani siyo kuleteana habari sizizo na kichwa wala miguu.
Namba 5 nimetukana na natukana watu wengi sana mpaka leo.
 
Back
Top Bottom