Hii ni Top Ten ya nyimbo zinazopigwa zaidi kwenye mabaa ya Tanzania

Hii ni Top Ten ya nyimbo zinazopigwa zaidi kwenye mabaa ya Tanzania

hiyo yakwanza sijaielewa kabisaaaa
Kausikilize tena mkuu wimbo unatoa miwasho harara na mapunye.

Rhumba waimbaji,watunzi,waandishi,wapiga magitaa n.k aiseeee sijui niseme nini.
Nawapenda sanaa sanaaa Madilu,Franco luambo, Sam magwana,pepe kale n.k nyie ni vijana halisi wa ki Africa mtakumbukwa milele.
 
Back
Top Bottom