Hii ni vita ya kiuchumi kwa Tanzania, niwakati sasa watanzania kufanya counter attack

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Mimi sijawahi fika Zanzibar ila kwa suala lilipofikia hawa wanaijeria hii sasa sio suala la Werere beach bali ni vita ya kiuchumi kwa Tanzania,
Cyber war ni vita kama vita nyingine, niwakati sasa watanzania kwa umoja wetu kuwashambulia huko Twitter hawa wanaijeria ambao wengi wao ni wasanii, inajulikana dunia nzima,
Wameanza dharau kua hatujui kingereza so hakuelewi kinachoendelea, tusiliache lipite hivi hivi,
Mimi nimeianza kazi huko naomba tulifanyie kazi
 
wenye dharau hizo ni wakenya tu Afrika hii
 
😂😂😂
Heri ukose mali kuliko akili sasa kutokujua kiingereza ndio dharau?
Yaani umeuambia ubongo wako kwamba mtu akisema watanzania hatujui kiingereza ni tusi. Kama inakuudhi wambie na wao hawajui kiswahili
Sio kutushirikisha vita vyako visivyo na msingi
 
Mimi sijawahi fika Zanzibar ila kwa suala lilipofikia hawa wanaijeria hii sasa sio suala la Werere beach bali ni vita ya kiuchumi kwa Tanzania,
Cyber war ni vita kama vita nyingine, niwakati sasa watanzania kwa umoja wetu kuwashambulia huko Twitter hawa wanaijeria ambao wengi wao ni wasanii, inajulikana dunia nzima,
Wameanza dharau kua hatujui kingereza so hakuelewi kinachoendelea, tusiliache lipite hivi hivi,
Mimi nimeianza kazi huko naomba tulifanyie kazi
Watz gani unawazungumzia kwanza? Hao wananunua bando kwa gharama aje ashindane na wengine? Au yule kijana mliowaambia wakajiajiri ndio waje wapiganie ugali wenu etii [emoji23][emoji23][emoji23]?

Never on earth, mlichokianzisha mkimalizie...

Vijana/wananchi wenye taaluma wamekaa mtaani wanashangaa hawaelewi, wakajichanga waingie mtandaoni wajiliwaze nyie mmeanza kuwapa kazi ya kuwatetea? Tena ugali wenu? Aaah
 
Mimi sijawahi fika Zanzibar ila kwa suala lilipofikia hawa wanaijeria hii sasa sio suala la Werere beach bali ni vita ya kiuchumi kwa Tanzania,
Cyber war ni vita kama vita nyingine, niwakati sasa watanzania kwa umoja wetu kuwashambulia huko Twitter hawa wanaijeria ambao wengi wao ni wasanii, inajulikana dunia nzima,
Wameanza dharau kua hatujui kingereza so hakuelewi kinachoendelea, tusiliache lipite hivi hivi,
Mimi nimeianza kazi huko naomba tulifanyie kazi
Nyoosha maelezo Mkuu.
 
Watu wasipofundishwa historia ni shida sana, nadhangaa wa South Africa nao wameingilia hili suala na kusema wanaume wa yanzania ni primitive, hawa hawa tuoiowasaidia, i see why wana suffer
 
Back
Top Bottom