wenye dharau hizo ni wakenya tu Afrika hiiMimi sijawahi fika Zanzibar ila kwa suala lilipofikia hawa wanaijeria hii sasa sio suala la Werere beach bali ni vita ya kiuchumi kwa Tanzania,
Cyber war ni vita kama vita nyingine, niwakati sasa watanzania kwa umoja wetu kuwashambulia huko Twitter hawa wanaijeria ambao wengi wao ni wasanii, inajulikana dunia nzima,
Wameanza dharau kua hatujui kingereza so hakuelewi kinachoendelea, tusiliache lipite hivi hivi,
Mimi nimeianza kazi huko naomba tulifanyie kazi
Watz gani unawazungumzia kwanza? Hao wananunua bando kwa gharama aje ashindane na wengine? Au yule kijana mliowaambia wakajiajiri ndio waje wapiganie ugali wenu etii [emoji23][emoji23][emoji23]?Mimi sijawahi fika Zanzibar ila kwa suala lilipofikia hawa wanaijeria hii sasa sio suala la Werere beach bali ni vita ya kiuchumi kwa Tanzania,
Cyber war ni vita kama vita nyingine, niwakati sasa watanzania kwa umoja wetu kuwashambulia huko Twitter hawa wanaijeria ambao wengi wao ni wasanii, inajulikana dunia nzima,
Wameanza dharau kua hatujui kingereza so hakuelewi kinachoendelea, tusiliache lipite hivi hivi,
Mimi nimeianza kazi huko naomba tulifanyie kazi
Nyoosha maelezo Mkuu.Mimi sijawahi fika Zanzibar ila kwa suala lilipofikia hawa wanaijeria hii sasa sio suala la Werere beach bali ni vita ya kiuchumi kwa Tanzania,