Hii ni zaidi ya laana, ona kinachofanywa na huyu mama na mwanae wa kiume

Kwani tatizo liko wapi?
 
hakika tuonacho kwenye video ni laana, ila usitukane masingle mother wote,

wengine ni wajane, wengine ndoa zilivunjika kwasababu zilizo nje ya uwezo wao.

wapo masingle mother wana tabia nziri tu, ila hawakupata watu sahihi wa kujenga nao familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…