Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wazungu wana Beach ambayo wanaenda na familia wakiwa Uchi wa mnyama kabisa ukimmind mtu unakula mzigo huko huko kwenye maji walijaribu Durban naona wananachi waliipigia sana kelele ila Cape Town ipo huko Sea point...