Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Wakishua huwezi elewa, wewe si hadi yai unamenyewaUduvi ni kitu gani?
Ni hatari mkuu, ndio walewale wa kusema wananchi tutakula hadi nyasiHii ndo raha ya madaraka, ukiwa nayo unaona wote wasiokuwa na kitu n mbwa
Kwa hiyo kutokujua uduvu unakua wa kishua?Wakishua huwezi elewa, wewe si hadi yai unamenyewa
Hawa viongozi wengine wanaroga kupata hizo nafasi hawana uwezo wa kuongoza kwa hekima na busara..Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika
Nimeishia kucheka tu
So sad mkuu, sadly enough he's talking confidently ana people around are gigglingHawa viongozi wengine wanaroga kupata hizo nafasi hawana uwezo wa kuongoza kwa hekima na busara..
Kwanza inaonyesha hajui au kajisahaulisha kuwa hata walimu wa serikali huo ubuyu ndio biashara zao huko mashuleni zinazo wabusti kutoka na mishahara kidogo wanayopewa.
Ni aibu mno kuwa na viongozi wa dizaini hii..So sad mkuu, sadly enough he's talking confidently ana people around are giggling
UKWELI NI KWAMBA ANA HOJA,SEMA HATUTAKI KUKUBALI UKWELI HUU.Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika
Nimeishia kucheka tu
Ni aina ya kamba wadogo. Hupatikana baharini.Uduvi ni kitu gani?
Uduvi ni kitu gani?
Ni aina ya kamba wadogo. Hupatikana baharini. Angalia picha hapa chini .Wana soko sana hapa Dar es Salaam na Pwani kwa ujumla ila kule kwetu Mufindi hatuwajui vizuri.Uduvi ni bangi au?
Jamaa anaongea kama wakazi wa Daslaam ni wanafunzi wake aiseeeHuyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika
Nimeishia kucheka tu
Aisee... Hii ndiyo naijua leo.
Uwasilishaji ndo changamoto ila kwa faida ya jiti 3 per day hapana kwakweli.UKWELI NI KWAMBA ANA HOJA,SEMA HATUTAKI KUKUBALI UKWELI HUU.