Hii nilikutana nayo mahala. Sijui ni ya muda gani ila nimeshare

Jobless_Billionaire

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2022
Posts
3,106
Reaction score
8,101
Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika

Nimeishia kucheka tu
 
Attachments

  • AQPC9CoDlUb8axXevvuuk7mImn9Yu4FAsWkExnpn-sdoiAojYAzXN4SA5b-gsqvVLEVjM6SHZgRBSe_pntjnIjc2.mp4
    653 KB
Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika

Nimeishia kucheka tu
Hawa viongozi wengine wanaroga kupata hizo nafasi hawana uwezo wa kuongoza kwa hekima na busara..

Kwanza inaonyesha hajui au kajisahaulisha kuwa hata walimu wa serikali huo ubuyu ndio biashara zao huko mashuleni zinazo wabusti kutoka na mishahara kidogo wanayopewa.
 
So sad mkuu, sadly enough he's talking confidently ana people around are giggling
 
Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika

Nimeishia kucheka tu
UKWELI NI KWAMBA ANA HOJA,SEMA HATUTAKI KUKUBALI UKWELI HUU.
 
Yeye kaona kuwa ameongea point kumbe amna kitu ni dharau za kishamba tu,kama vipi aachie hicho cheo chake apate mwingine aone kama ataridhika,
Hapo kajilinganisha yeye na hao wa faida miatatu na hizo ni dharau
 
Uduvi ni kitu gani?
Ni aina ya kamba wadogo. Hupatikana baharini.

1735863302598.jpeg

Uduvi ni kitu gani?
 
Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika

Nimeishia kucheka tu
Jamaa anaongea kama wakazi wa Daslaam ni wanafunzi wake aiseee
 
UDUVI - huwa sipendelei maneno Kama hayo ya kiswahili.

Sio tu kuuza UDUVI kuna mambo mengi ambayo yanamfikisha mtu kufanya Kazi Kama hiyo.

So wana preach negativity bila kutoa solution yoyote .
 
Back
Top Bottom