Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Aahaa, ‘shrimps’ sio, hawa wanitwa ‘kamba’ kwa huku Dar, na yake makubwa (Lobster) huwa yanaitww ‘Kamba Kochi’Ni aina ya kamba wadogo. Hupatikana baharini. Angalia picha hapa chini .Wana soko sana hapa Dar es Salaam na Pwani kwa ujumla ila kule kwetu Mufindi hatuwajui vizuri.
Oooh kumbe ni samaki kamba😅
Tuache huu ujinga wa kujihurumia, ndio maana hatufanyi mambo makubwa kama vijana.Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika
Nimeishia kucheka tu
Ni point, vijana tuache kujihurumiaYeye kaona kuwa ameongea point kumbe amna kitu ni dharau za kishamba tu,kama vipi aachie hicho cheo chake apate mwingine aone kama ataridhika,
Hapo kajilinganisha yeye na hao wa faida miatatu na hizo ni dharau