Hii nilikutana nayo mahala. Sijui ni ya muda gani ila nimeshare

Hii nilikutana nayo mahala. Sijui ni ya muda gani ila nimeshare

Bwana mkubwa mmoja aliwahi kusema haamini kama kuna mtanzania anayeshindwa kumpa mtoto wake milo mitatu kwa siku.
 
Ni aina ya kamba wadogo. Hupatikana baharini. Angalia picha hapa chini .Wana soko sana hapa Dar es Salaam na Pwani kwa ujumla ila kule kwetu Mufindi hatuwajui vizuri.

1735863302598.jpeg
Aahaa, ‘shrimps’ sio, hawa wanitwa ‘kamba’ kwa huku Dar, na yake makubwa (Lobster) huwa yanaitww ‘Kamba Kochi’
 
Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika

Nimeishia kucheka tu
Tuache huu ujinga wa kujihurumia, ndio maana hatufanyi mambo makubwa kama vijana.
1. Eti kijana unazungusha dagaa/uduvi
2. Unazungusha leso
3. Unapaka rangi???
Ufike wakti tuukatae unyonge huuu kwa nguvu zote.

Chalamila huwa simkubali lakini katika hili tuko pamoja.
Tufanye kazi kwa malengo sio ilimradi tuishi
 
Yeye kaona kuwa ameongea point kumbe amna kitu ni dharau za kishamba tu,kama vipi aachie hicho cheo chake apate mwingine aone kama ataridhika,
Hapo kajilinganisha yeye na hao wa faida miatatu na hizo ni dharau
Ni point, vijana tuache kujihurumia
 
Hao ndo wale wanataka idadi ya vibaka iongozeke mitaani
Binafsi ninachokijua uduvi + dagaa huku Kanda ya ziwa Kuna hela sana alafu jamaa alikuwa Kagera huyu
 
Hakuna ANACHO jua kuhusu biashara. Hajui hiyo mia tatu mara mia tatu haiwi Tena mia tatu.
 
Back
Top Bottom