Wakuu wanawake wanaojielewa na waaminifu 100% wapo. Sali sana upate mwenza sahihi wa maisha, haya mambo ni kwa neema tu. Wala sio kwa akili zetu wala kwa ujanja wetu. Binafsi kati ya vitu nnavyomshukuru Mungu ni kunikutanisha na mwanamke wangu, ambae ni mama mtoto wangu pia. Tulikutana chuo Udsm miaka kadhaa iliyopita. She is cute, stable, educated, romantic, very smart upstairs, God fearing & the list goes on. Itoshe tu kusema ana kila nnachokipenda na nlichokua natamani my woman awe nacho. I just couldn't ask for more.
Kwa miaka kadhaa nimetumia kila njia iliyokua katika akili yangu kumchunguza na kujiridhisha. Hayo ya kusalitiwa na kubambikiwa watoto nayasikia tu kwa wengine