Hii njia Unaweza kuidharau lakini ndio pekee ya kuwa na uhakika mtoto ni wako bila DNA

Hii njia Unaweza kuidharau lakini ndio pekee ya kuwa na uhakika mtoto ni wako bila DNA

Wakuu wanawake wanaojielewa na waaminifu 100% wapo. Sali sana upate mwenza sahihi wa maisha, haya mambo ni kwa neema tu. Wala sio kwa akili zetu wala kwa ujanja wetu. Binafsi kati ya vitu nnavyomshukuru Mungu ni kunikutanisha na mwanamke wangu, ambae ni mama mtoto wangu pia. Tulikutana chuo Udsm miaka kadhaa iliyopita. She is cute, stable, educated, romantic, very smart upstairs, God fearing & the list goes on. Itoshe tu kusema ana kila nnachokipenda na nlichokua natamani my woman awe nacho. I just couldn't ask for more.
Kwa miaka kadhaa nimetumia kila njia iliyokua katika akili yangu kumchunguza na kujiridhisha. Hayo ya kusalitiwa na kubambikiwa watoto nayasikia tu kwa wengine
Mshukuru Sana Mungu na Umtunze Sana... Na pia ujichunge sana usije ukajaribu hata kwa dawa kuchepuka Ili maroho mabaya yasiingie kwenye Nyumba yako.. Mungu akubariki Sana na Pia akazidi kuwa Kiongozi Mshauri na Mlinzi wa Ndoa yenu.
 
Utoto raha sana…...yaani kama mawazo ya vijana ndio haya kuna safari ndefu sana…yaani ujenge nyumba maporini huko huo muda unaupata wapi na hela ya kujengea unaipata wapi…..kabla ya chochote unampima kama ana mimba...hiyo mimba anapima nani na mko maporini huko na hakuna watu...funguo unashika muda wote…..yaani miezi miwili hamfanyi kazi mnalala tu au mnakuwa likizo????...hadithi hii inatufundisha nini
 
Mshukuru Sana Mungu na Umtunze Sana... Na pia ujichunge sana usije ukajaribu hata kwa dawa kuchepuka Ili maroho mabaya yasiingie kwenye Nyumba yako.. Mungu akubariki Sana na Pia akazidi kuwa Kiongozi Mshauri na Mlinzi wa Ndoa yenu.
Amen[emoji120] Nashkuru sana mkuu kwa ushauri mzuri, nitayazingatia hayo
 
Una mawazo mazuri maneno ya watu yasikukatishe tamaa endelea kuvuta bange ipo siku utaweza kuimudu japokua sahiv inakupeleka mbio
 
Wakuu wanawake wanaojielewa na waaminifu 100% wapo. Sali sana upate mwenza sahihi wa maisha, haya mambo ni kwa neema tu. Wala sio kwa akili zetu wala kwa ujanja wetu. Binafsi kati ya vitu nnavyomshukuru Mungu ni kunikutanisha na mwanamke wangu, ambae ni mama mtoto wangu pia. Tulikutana chuo Udsm miaka kadhaa iliyopita. She is cute, stable, educated, romantic, very smart upstairs, God fearing & the list goes on. Itoshe tu kusema ana kila nnachokipenda na nlichokua natamani my woman awe nacho. I just couldn't ask for more.
Kwa miaka kadhaa nimetumia kila njia iliyokua katika akili yangu kumchunguza na kujiridhisha. Hayo ya kusalitiwa na kubambikiwa watoto nayasikia tu kwa wengine
Stable, educated, smart hizo sifa kweli Anazo ndo maana hujafanikiwa kujua Anachofanya.
Overall Love is Blind.
Though she can be trusted but
I don't trust any woman.
 
Najiamini kupita maelezo mkuu. Ulinzi mkubwa nliomuwekea mwanamke wangu ni kuiteka mindset yake, hapo yeye kubadilika labda nimbadilishe mimi kwa kufanya ujinga, na akibadilika anabadilika kweli. But i rule out nothing, kama ikitokea huyu mwanamke akanicheat na nkathibitisha beyond reasonable doubt kwamba amenicheat, basi sitakuja kumuamini tena yeyote zaidi ya mama yangu
Mkuu Mapenzi ni Uchizi. Anything can happen just be prepared psychologically.
 
Mzuka wanajamvi!

Ni hivi unamchukua waifu ama demu wako mnaenda mbali ama maporini huko uliposhaanda na kujenga nyumba. Una hakikisha umenunua msosi wa nguvu na mahitaji yote yatakayowatosheleza miezi miwili.

Pia huko mnapoenda unahakikisha kuna fensi na geti kali.

Kabla hamjaingia humo unampima waifu/demu mimba kuhakikisha hana.

Ukishajiridhisha hana unavunga hamna kugegegedana kwanza hadi uone yuko mwezini.

Baada ya mwezini nikugegedana tu kwenda mbele nakusubiria mwezi upite ama tuseme siku zaidi ya 30. Halafu unamcheki tena kama kaenda mwezini halafu unampima ukikuta ni mjamzito rukaruka kwa furaha juwa ni ya kwako iyo lakini subiri tena siku 30 zingine ujiridhishe zaidi.

Mnajifungia humo kwa siku 60 ufunguo ni wewe mwenyewe unabeba hamna mtu kutoka . Yani hakikisha 24/7 kila sekunde za siku hizo 60 humuwachi huko naye tu na hamtoki nje.

Baada ya hizo siku 60 sasa mnaweza kutoka nje kurudi kitaa na kumwacha huru demu wako hata akienda kwa mashoga zake huko kupiga umbea wewe mpotezee tu huku ukiendelea na shughuli zako ukiwa na confidence ya kipekee na hatarii Dogo akizaliwa ni wa kwako damu yako.
Hizo siku 60 huendi kazini? Ofisi gani hiyo inayoweza kukupa likizo ya hizo siku ndani ya mwaka mmoja?! Hatakama ni mfanya biashara haiwezekani.
Katika yote umesahau kitu kinachoitwa BOREDOM or FATIGUE
 
Back
Top Bottom