Hii njia Unaweza kuidharau lakini ndio pekee ya kuwa na uhakika mtoto ni wako bila DNA

Huko porin kwenu hakuna mlinzi? Shamba boy?? Na hata mpambe wako wawili au 1 sasa wewe piga tonge kiuchovu uone kama huyo huko porin asiwwtengee wanaojua kukata tonge vizur
Wewe unazungumzia walinzi na shamba boy, hivi unawajuwa wanawake kweli? Kule porini kuna ngedere na magorilla.....kuna baadhi ya wanawake wanachanganikiwa kuona tu hao wanyama, wanawaza kuduu nao.
 
Kumbe kuchapiwa si issue, issue ni uhakika mtotoawe wako...

Okay basi acha nimwambie mwafulani tukatawe ikitiki aendelee na mishe zake huku mie naendelea na kateereeerooooo 😜.

Ifwakti nimeacha hiyo michezo ya kurukaruka wacha ni egiziti.
Wivu sina ila roho inauma

Happy New year Kasie Asprin ODM
 
Wivu sina ila roho inauma

Happy New year Kasie Asprin ODM

Baby Buuu Asipirooooo

Njoo bathi tuambukidhane korona......

Your hug will heal all my 2021 fear πŸ₯°.

Safari hii tufanye kweli banaaa...

I wanna dance with you
I wanna eat with you
I wanna cheers with you

Let me not miss you more...

K Matata Big Sam Orijinale Babu ODM 😘.
 
Kazi kwel kweli, hii shida yote ya nini?
 
Huo mda wa kujenga nyumba na kufanya hayo yote mbona no changamoto sana. Bora ulee mtoto tu ilimradi usijue kama si wako.
 
Wakuu wanawake wanaojielewa na waaminifu 100% wapo. Sali sana upate mwenza sahihi wa maisha, haya mambo ni kwa neema tu. Wala sio kwa akili zetu wala kwa ujanja wetu. Binafsi kati ya vitu nnavyomshukuru Mungu ni kunikutanisha na mwanamke wangu, ambae ni mama mtoto wangu pia. Tulikutana chuo Udsm miaka kadhaa iliyopita. She is cute, stable, educated, romantic, very smart upstairs, God fearing & the list goes on. Itoshe tu kusema ana kila nnachokipenda na nlichokua natamani my woman awe nacho. I just couldn't ask for more.
Kwa miaka kadhaa nimetumia kila njia iliyokua katika akili yangu kumchunguza na kujiridhisha. Hayo ya kusalitiwa na kubambikiwa watoto nayasikia tu kwa wengine
 
You migh
You might get heart attack someday.....
just give your wife a benefit of doubt/.
set aside a room of doubt...
 
As long as mtoto jina lake la mwisho linaendeleza ukoo niliotoka huyo ni wangu na watukuu zangu wabebe jina langu. Ww uliyemtungisha mimba mwanamke akanibambikizia ndo umeopoteza.
 
You migh

You might get heart attack someday.....
just give your wife a benefit of doubt/.
set aside a room of doubt...
Najiamini kupita maelezo mkuu. Ulinzi mkubwa nliomuwekea mwanamke wangu ni kuiteka mindset yake, hapo yeye kubadilika labda nimbadilishe mimi kwa kufanya ujinga, na akibadilika anabadilika kweli. But i rule out nothing, kama ikitokea huyu mwanamke akanicheat na nkathibitisha beyond reasonable doubt kwamba amenicheat, basi sitakuja kumuamini tena yeyote zaidi ya mama yangu
 



n




Nadhani umenielewa Kasie Asprin
 

Attachments

  • 1611578966291.png
    90.3 KB · Views: 1
Nimesoma mpka paragraph ya pili.Nimegundua aliyeandika bado mtoto
 
Kasie Herself in Flesh.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…