Hii njia Unaweza kuidharau lakini ndio pekee ya kuwa na uhakika mtoto ni wako bila DNA

Mshukuru Sana Mungu na Umtunze Sana... Na pia ujichunge sana usije ukajaribu hata kwa dawa kuchepuka Ili maroho mabaya yasiingie kwenye Nyumba yako.. Mungu akubariki Sana na Pia akazidi kuwa Kiongozi Mshauri na Mlinzi wa Ndoa yenu.
 
Utoto raha sana…...yaani kama mawazo ya vijana ndio haya kuna safari ndefu sana…yaani ujenge nyumba maporini huko huo muda unaupata wapi na hela ya kujengea unaipata wapi…..kabla ya chochote unampima kama ana mimba...hiyo mimba anapima nani na mko maporini huko na hakuna watu...funguo unashika muda wote…..yaani miezi miwili hamfanyi kazi mnalala tu au mnakuwa likizo????...hadithi hii inatufundisha nini
 
Mshukuru Sana Mungu na Umtunze Sana... Na pia ujichunge sana usije ukajaribu hata kwa dawa kuchepuka Ili maroho mabaya yasiingie kwenye Nyumba yako.. Mungu akubariki Sana na Pia akazidi kuwa Kiongozi Mshauri na Mlinzi wa Ndoa yenu.
Amen[emoji120] Nashkuru sana mkuu kwa ushauri mzuri, nitayazingatia hayo
 
Una mawazo mazuri maneno ya watu yasikukatishe tamaa endelea kuvuta bange ipo siku utaweza kuimudu japokua sahiv inakupeleka mbio
 
Stable, educated, smart hizo sifa kweli Anazo ndo maana hujafanikiwa kujua Anachofanya.
Overall Love is Blind.
Though she can be trusted but
I don't trust any woman.
 
Mkuu Mapenzi ni Uchizi. Anything can happen just be prepared psychologically.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]hii post inachekesha
 
Hizo siku 60 huendi kazini? Ofisi gani hiyo inayoweza kukupa likizo ya hizo siku ndani ya mwaka mmoja?! Hatakama ni mfanya biashara haiwezekani.
Katika yote umesahau kitu kinachoitwa BOREDOM or FATIGUE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…