Hii njia ya Kenya, Uganda, Rwanda na mataifa mengine hasa ya Africa kupambana na Corona inachekesha

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Kufungia watu ndani sio suluhu

Haya Marekani naona amechukua uamuzi wa Magufuli, go to work but abide closely with precautions

Kuna vinchi vingine tayari uchumi wao upo ICU, lazima viende na hii Corona

Trump.jpg

Capture.PNG
 
Wakenya watu wa ajabu Sana. Hapa kwetu His Highness John Stone amesema tuingie makanisani tuombee hili janga litashindwa kwa jina la Yesu.

Naweza aje jiunga na praise team nichangie kwenye misifa na Kiki kwa mtukufu St. Magu ?
Tanzania 13
Kenya. 28

Tuma sadaka yako kupitia namba +254725685321[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MaCCM huu sio muda wa kubeza juhudi za majirani zenu, ni wakati wa kuishauri nchi yenu ichukue tahadhari.

Ona mwenzenu kaanzisha uzi wa yale yanatendeka Kenya
CORONA VIRUS: Kenyatta ndio Rais pekee aliyejipanga kuwanusuru wananchi wake kiuchumi - JamiiForums

-Mshahara wa chini ya shilingi Laki tano za kitanzania hautakatwa kodi kabisa.

-PAYE Kupunguzwa kwa 5% (kutoka 30% mpaka 25%)

-Corporation tax kupunguzwa kwa 5%

-Turnover tax kupunguzwa kwa 2%

-Jamii isiyojiweza imetengewa zaidi ya bilioni 200 za kitanzania.

-Kusitishwa kwa muda riba katika mikopo ya biashara zitakazo dumaa au kufirisika katika kipindi hichi cha mlipuko wa Corona.

-VAT Kupunguzwa kwa 2% (Kutoka 16% mpaka 14%)

-Kuidhinisha mara moja zaidi ya shilingi bilioni 20 za kitanzania kutoka mfuko wa Afya kwenda kupambana na Corona.

-Kupunguza mishahara ya maafisa wa juu wa serikali kwa karibu 80%.

-Watumishi wenye umri mkubwa au wenye afya dhaifu kupewa likizo huku wakiendelea kula mshahara kama kawaida wakiwa majumbani mwao.
 
Mkumbushe huyo anayemsifia Kenyatta Kwamba Kenya ni nchi ya pili kuwa na waathirika wengi baada ya Rwanda. hao anaodhani sio wazuri ndio ambao wana idadi ndogo kabisa, na kasi ndogo ya maambukizi.

Hii tabia yenu ya kupenda kujisifu kwa kila kitu, ndio inayosababisha mnachekwa mnapopatwa na majanga badala ya kupewa Pole, sasa tuone Kama huko kupunguza mishahara na kodi mbalimbali kutusaidia kupunguza maambukizi ya Corona.

Sisi hatuja punguza mishahara wala kodi, wala kuzuia watu kufanya Kazi au kutembea mida ya usiku, tulichofanya ni kuunda vikosi Kazi mbalimbali vyenye wataalamu na wanasiasa na kuvisambaza nchi nzima ili kasimamia haya mapambano. Tutaona nchi gani itaonyesha mafanikio katika kupunguza maambukizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefungua uzi fasta nikidhani nitasoma uchanganuzi wa maana au labda utafiti kutoka kwa wataalamu na maagizo mapya kutoka kwa WHO. Kumbe ni sifia sifia tu za Mr. Stone?
Uhuru wa kukimbia 2 km hawezi kupanda miamba namna hii!
 
Mkumbushe huyo anayemsifia Kenyatta Kwamba Kenya ni nchi ya pili kuwa na waathirika wengi baada ya Rwanda. hao anaodhani sio wazuri ndio ambao wana idadi ndogo kabisa, na kasi ndogo ya maambukizi.

Hii tabia yenu ya kupenda kujisifu kwa kila kitu, ndio inayosababisha mnachekwa mnapopatwa na majanga badala ya kupewa Pole, sasa tuone Kama huko kupunguza mishahara na kodi mbalimbali kutusaidia kupunguza maambukizi ya Corona.

Sisi hatuja punguza mishahara wala kodi, wala kuzuia watu kufanya Kazi au kutembea mida ya usiku, tulichofanya ni kuunda vikosi Kazi mbalimbali vyenye wataalamu na wanasiasa na kuvisambaza nchi nzima ili kasimamia haya mapambano. Tutaona nchi gani itaonyesha mafanikio katika kupunguza maambukizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Soma hapo eti wametenga billion 20 kupambana na Corona! Seriously?

Tanzania imetoa tu billion 1 iliyokuwa kwenye budget ya mbio za mwenge and everything seems to be OK

Yaani Kenya ilishalaanika kwa ufisadi

Billion 20 mafukara wa Kenya wameshatapeliwa na majizi ya serikali kwa mlango wa Corona 😁😁🙄

Billion 20 is a lot of fucking money for the failed economy like Kenya
 
Back
Top Bottom