joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sio kweli usiwasikilize hao ni watu wa kupenda kujisifu hawana lolote.[emoji23][emoji23][emoji23] Soma hapo eti wametenga billion 20 kupambana na Corona! Seriously?
Tanzania imetoa tu billion 1 iliyokuwa kwenye budget ya mbio za mwenge and everything seems to be OK
Yaani Kenya ilishalaanika kwa ufisadi
Billion 20 mafukara wa Kenya wameshatapeliwa na majizi ya serikali kwa mlango wa Corona [emoji16][emoji16][emoji849]
Billion 20 is a lot of fucking money for the failed economy like Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app