Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
- Thread starter
- #41
LOL kuwa mwanaume basi, Kenya Kuna upungufu wa wanaumeHuo si ndio upupu ambao rais wenu unaendeleza? Kwamba iwe ni biashara kama kawaida? Kisha unajaribu kulinganisha mikakati ya rais Trump wakati yeye siku mbili tu zilizopita amewabana zaidi wamerakani na 'restrictions' zaidi kwenye usafiri na biashara na wapo kwenye lockdown kwa sasa, zaidi hata ya wakenya. Anachozungumzia rais Trump kwenye tweet yake ni mikakati ya hapo baadaye, ya kurudisha hali ya kibiashara pole pole kupitia 'protocols' ambazo anataka Congress wazikubali na watoe idhini. Tena ni kwenye sekta nyeti tu za kiuchumi. Umesoma mapendekezo yake au umeishia tu kwenye hiyo tweet kisha ukaanza kusifia? Coronavirus: Trump signals he may lift federal coronavirus guidelines
Mwanaume ni kusimamia msimamo wako unaoamini upo madhubuti no matter what!
Ungekua mwanaume kamili ungepaswa kunijibu simple tu "who the hell is trump?" (ndio sisi watanzania tulivyo) na sio kujibaraguza kishambenga na kulazimisha Z iwe 2 kwa sababu tu usiende kinyume na trump, huo tunaitaga ushoga 😂😂😂😂😂