Hii njia ya Kenya, Uganda, Rwanda na mataifa mengine hasa ya Africa kupambana na Corona inachekesha

Sio kweli usiwasikilize hao ni watu wa kupenda kujisifu hawana lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa sijui hawa wafuata upepo watasema nini baada ya kuona Mungu wao ametoa msimamo kama wa JiweπŸ™‚
Viva Jiwe letuπŸ™‚

Kufungia watu ndani sio suluhu

Haya Marekani naona amechukua uamuzi wa Magufuli, go to work but abide closely with precautions

Kuna vinchi vingine tayari uchumi wao upo ICU, lazima viende na hii Corona View attachment 1399779

 
Nimefungua uzi fasta nikidhani nitasoma uchanganuzi wa maana au labda utafiti kutoka kwa wataalamu na maagizo mapya kutoka kwa WHO. Kumbe ni sifia sifia tu za Mr. Stone?
Tanzania hatuwezi kuacha kuchapa kazi au kufunga mipaka sababu mataifa mengi yanatutegemea ili yaishi
Hawa ni wafanyabiashara wa Zimbabwe wanaoitegemea Tanzania kiuchumi.

 
Trump mwenyewe atasema poo muda si mrefu jana tu maambukizi mapya yalikuwa 13,355 na vifo 24. Tayari leo kafikisha idadi ya wagonjwa 68,489 na vifo 1,032. kiburi chake cha kuviita virusi vya corona its a Chines virus kitamtokea puani
Trump anatetea muhula wa pili. Anaogopa uchumi ukiyumba propaganda ameimarisha uchumi wa marekani zitakuwa haziaminiki tena. Uchaguzi muhimu kuliko afya za wamarekani.
 
Tanzania hatuwezi kuacha kuchapa kazi au kufunga mipaka sababu mataifa mengi yanatutegemea ili yaishi
Hawa ni wafanyabiashara wa Zimbabwe wanaoitegemea Tanzania kiuchumi.
Aliyewashurutisha mtumie mbinu zingine ni nani? Mnajitekenya wenyewe kisha mnacheka kwa nguvu.
Hizo ni akili finyu, endeleeni kuunga mkono vitu vya kipumbavu. Naona hata tweet ya Trump, ambayo umeitumia kama mada ya uzi wako, hujaielewa hata kidogo. Model ya waliofanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye vita dhidi ya maambukizi ya virusi hivyo ni China. Kisha wale ambao wamefeli kwa kiasi kikubwa ni Italy. Nchi zote duniani zinajichagulia zenyewe mkondo sahihi wa kufata.
 
Humuoni mwenzeno alivyoandika kuonyesha hatuana zilizochukuliwa na Uhuru Kenyatta kwamba ndio hatua nzuri katika kupambana na Corona, na akaambatanisha na uzi wa mtu aliyemsifia Uhuru Kenyatta?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupindisha mambo, mlikua mnajisifia kwa kumkashifu Magufuli kwa kusema endeleeni kuchapa Kazi na acheni kutishana, shughuli ziendelee Kama kawaida ila tuepukeni misongamano na safari zisozokua za lazima.

Mlianza kumkebehi na kumsifia Uhuru Kenyatta Kwamba kuweka mazuio mengi, sasa Mungu wenu(Trump) anapita mule mule alimopita Magufuli. So far so good Magufuli strategies work very good".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump anatetea muhula wa pili. Anaogopa uchumi ukiyumba propaganda ameimarisha uchumi wa marekani zitakuwa haziaminiki tena. Uchaguzi muhimu kuliko afya za wamarekani.

Halafu na kwenu huko si ndio mnajiandaa kwa uchaguzi mwaka huu, nimeelewa kwanini imewabidi hata nyie mshupaze shingo.
Nilikua nashangaa kwanini ukanda huu nyie ndio muonekane kutozingatia tahadhari yoyote.
 
Halafu na kwenu huko si ndio mnajiandaa kwa uchaguzi mwaka huu, nimeelewa kwanini imewabidi hata nyie mshupaze shingo.
Huku hatuna siasa za mapambano Kama USA au Kenya, ukiwa mgombea urais wa CCM imeshapata kwa 98%, kama ilivyo South Africa, Namibia, Botswana, Angola na Msumbiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOL IQ yako inahitajika kufanyiwa postmortem, wapi kwenye thread yangu nimetaja hizo pumba zako?

Content ya niliyoandika na attachments kutoka kwa trump na Magufuli wapi hizo mada zako mpya zimegusiwa?

Rubbish IQ kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™„
 
LOL IQ yako inahitajika kufanyiwa postmortem, wapi kwenye thread yangu nimetaja hizo pumba zako? Content ya niliyoandika na attachments kutoka kwa trump na Magufuli wapi hizo mada zako mpya zimegusiwa? Rubbish IQ kabisa
Huo si ndio upupu ambao rais wenu unaendeleza? Kwamba iwe ni biashara kama kawaida? Kisha unajaribu kulinganisha mikakati ya rais Trump wakati yeye siku mbili tu zilizopita amewabana zaidi wamerakani na 'restrictions' zaidi kwenye usafiri na biashara na wapo kwenye lockdown kwa sasa, zaidi hata ya wakenya. Anachozungumzia rais Trump kwenye tweet yake ni mikakati ya hapo baadaye, ya kurudisha hali ya kibiashara pole pole kupitia 'protocols' ambazo anataka Congress wazikubali na watoe idhini. Tena ni kwenye sekta nyeti tu za kiuchumi. Umesoma mapendekezo yake au umeishia tu kwenye hiyo tweet kisha ukaanza kusifia? Coronavirus: Trump signals he may lift federal coronavirus guidelines
 
akili maiti aka kichwa maji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…