Hii njia ya Kenya, Uganda, Rwanda na mataifa mengine hasa ya Africa kupambana na Corona inachekesha


we are slowly making progress in the right direction
 
Na neno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa hivi wanamlaumu trump tena kwa vifo vingi vitokanavyo na covid19....... dems huwa siwaelewi kabisa!
 
sasa hivi wanamlaumu trump tena kwa vifo vingi vitokanavyo na covid19....... dems huwa siwaelewi kabisa!
Trump alipewa taarifa mapema ajiandae, akadharau.

Trump tangu alivyoingia madarakani watu wa utawala wa Obama walikuwa wanataka kukaa nao wafanye handover, wawape mipango, watu wa Trump hawakutaka kufuatilia.

Kuna ofisi ziliwekwa kufuatilia hizi habari za pandemics, Trump kazifuta.

Marekani imechelewa sana kuanza kupima, kwa sababu Trump alikataa vipimo vya WHO.

Trump anawaambia watu wajidunge maji ya sabuni na detergent ili kuua virusi, kitu ambacho ni hatari.

Trump ana lawama kubwa sana katika hili.

Hapo bado unaona hana lawama?
 
Hii ng'ombe ilienda wapi?πŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈ
 
Haya sasa Kazi imeanza, UN imeorodhesha nchi zinaoongoza kwa police brutality during Covid-19 lockdown...
 
Haya sasa Kazi imeanza, UN imeorodhesha nchi zinaoongoza kwa police brutality during Covid-19 lockdown...

Hivi nyie mnashangaza sana mpaka sasa mnaendelea kukusanyika kwenye misongamano ilhali mnaongoza rasmi EAC kwa idadi ya maambukizi na vifo, na video mnazotupia kwenye mitandao za maiti zikizikwa kisiri usiku ni wazi hiki kitu bado hakijawaingia akilini.......
Sasa hivi tunaona habari za tanzia tu kwenye lile jukwaa lenu la siasa, mara mbunge, mara DC yaani poleni sana.

Poleni naona hata RC wa Kilimanjaro kagawawia kirusi RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19 - JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…